
Habibi Lyrics
Habibi Lyrics by BRIAN FEEL
Tabibu, habibi
Nitakupenda, nitakulinda niamini
Hata babu, na bibi
Waliyakuta yaliwatesa mapenzi ooh
Nyota yangi milele
Tiba yangu no wewe eh
Pendo langu libebe, libebe mmmh
Rafiki zangu wazoee
Na ndugu zangu wasamehe
Hawazui mi bila wewe, shina wewe, tawi wewe
Natua na mizigo nielewe (ooh nielewe)
Sisemi tena kitu ila wewe (ooh ni wewe)
Natua na mizigo nielewe (ooh nielewe)
Sisemi tena kitu ila wewe
Asa hivi mi sio wa mizunguko ooh
Nishajichokea, nikajikondea
Nilipata maradhi nikaumwa nikapona
Mizunguko ooh
Nazinenepea sasa, penzi kan’jazia
Naogeshua nalishwa muda nnaotaka tena ooh
Ubavu wqngu wa kusho shoto
Kuba lako la mo moto
Ngeweza mie, duniani tubaki mi na wewe tu
Maana moyo ulikata tamaa
Na nafsi ikakumbwa jeraha
Amani tena hakuna nongoje ningoje mwisho nikachoka
Machozi sasa ndo furaha
Japo kovu nishapona jeraha
Maumivu tena nasahau mi jangwa we wangu mtende boo
Natua na mizigo nielewe (ooh nielewe)
Sisemi tena kitu ila wewe (ooh ni wewe)
Natua na mizigo nielewe (ooh nielewe)
Sisemi tena kitu ila wewe
Asa hivi mi sio wa mizunguko ooh
Nishajichokea, nikajikondea
Nilipata maradhi nikaumwa nikapona
Mizunguko ooh
Nazinenepea sasa, penzi kan’jazia
Naogeshua nalishwa muda nnaotaka tena ooh
Asa hivi mi sio wa mizunguko ooh
Nishajichokea, nikajikondea
Nilipata maradhi nikaumwa nikapona
Mizunguko ooh
Nazinenepea sasa, penzi kan’jazia
Naogeshua nalishwa muda nnaotaka tena
Watch Video
About Habibi
More BRIAN FEEL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl