Shrap Over The Rest Lyrics
Shrap Over The Rest Lyrics by BOUTROSS
Fanya Vile Mtafanya Ju Ni Shrap Over The Rest (aye)
Street Imejaa Jangili Piga Hiyo Left (ooh aye)
Goon Amejaza Wino Hadi Kwa Neck (Yeah yeah aye)
Food Kwa Keja Trappin Me Niko Fed (Prrrrr aye)
Trap Lord Waambie Neiba Aliita Feds (Aye)
Looku Ulipiga Lini Nilitoka Kwa Bed (Nilitoka kwa bed aye)
Roho Chafu Siku Hizi Hukuwaga Na Scent (Yeah yeah aye)
Mlichachisha Mwaka Mwaka Mpya Mko Dead (Dead)
Fanya Vile Mtafanya Ju Ni Shrap Over The Rest (Aaah aye)
Marapper Walisema Wana Bars Nikawapa Pen
Social Distance Hadi WhatsApp Groups Mi Nilileft
Aje Niskize Fala Alitoa Intelligence Kwa Net
10 Million In Views Na Bado Ngati Ako Kwa Debt (Aye)
Ndula Imetoka Ulaya Shawty Ni Mfrench (Aye)
Belt Ni Dolce Gabbana Cheki Hiyo Flex (Aye)
Vile Tunachange Malane Kwa KBX
Shawty Ako Nyuma Ni Deng Na Anakam Na KiVX
Nimechoka Kubonga Na Vile Wasela Wanapenda Pretence
Mali Ni Safi Shida Ni Mbona Inatoaga Stench
Since You're Hardly Bothered
Unadhani Hakunaga Haja Ya Kutense
Mpaka Mask Man Aingie Kwa Keja Na Ni Through Ya Fence
Aye
Street Imejaa Jangili Piga Hiyo Left (ooh aye)
Goon Amejaza Wino Hadi Kwa Neck (Yeah yeah aye)
Food Kwa Keja Trappin Me Niko Fed (Prrrrr aye)
Trap Lord Waambie Neiba Aliita Feds (Aye)
Looku Ulipiga Lini Nilitoka Kwa Bed (Nilitoka kwa bed aye)
Roho Chafu Siku Hizi Hukuwaga Na Scent (Yeah yeah aye)
Mlichachisha Mwaka Mwaka Mpya Mko Dead (Dead)
Fanya Vile Mtafanya Ju Ni Shrap Over The Rest (Aaah aye)
Kwani me Mode Nani Alisema Mi Nakuaga Na Answers (Aye)
Cheki Huyu Mthii Anabonga Akizoza
Namtumia Walach Ako Handas (Aah)
Mi Bouty Malaya Mi Husema Ukweli Sijai Kuwa Liar (Liar)
Ukweli Mi Hudinyanga Matha Wa Kijana Fulani anajiitanga Uncle (ooh)
Usicheze Na Sauce Fiend Amejaza Matope Kwa Fanta (Uuh)
Usicheze Na Boss Buda Utapata Hiyo Salo Hujapata (Pata)
Ulichukua Loss Sai Unawin Na Si Jana Ulianza (Ooh)
Mambanga Wanatafuta Shume Tangu Nitoe Vile Story Ilianza (Prrrrr aye)
Mbogi Ahead Perfect Timing Mbleina Alilambwa (Lambwa)
Plug Anapima Maheadi Ni Ka Anadai Kuilamba (Oooh)
Anajichocha Ati Ni Tafash Na Amepaka (Paka)
Fanya Vile Utafanya Ju Ni Shrap Over The Rest
Street Imejaa Jangili Piga Hiyo Left (ooh aye)
Goon Amejaza Wino Hadi Kwa Neck (Yeah yeah aye)
Food Kwa Keja Trappin Me Niko Fed (Prrrrr aye)
Trap Lord Waambie Neiba Aliita Feds (Aye)
Looku Ulipiga Lini Nilitoka Kwa Bed (Nilitoka kwa bed aye)
Roho Chafu Siku Hizi Hukuwaga Na Scent (Yeah yeah aye)
Mlichachisha Mwaka Mwaka Mpya Mko Dead (Dead)
Fanya Vile Mtafanya Ju Ni Shrap Over The Rest (Aaah aye)
Street Imejaa Jangili Piga Hiyo Left (Ooh aye)
Goon Amejaza Wino Hadi Kwa Neck (yeah yeah aye)
Food Kwa Keja Trappin Me Niko Fed(prrrrr aye)
Trap Lord Waambie Neiba Aliita Feds(aye)
Prrrrr
Watch Video
About Shrap Over The Rest
More BOUTROSS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl