Demand Lyrics by BOUTROSS

Yeah yeah yeah
Woo woo woo
Woo woo woo ey
Woo woo woo ey
Woo woo woo ey

Nikona demand Nikona demand  
High demand , very high demand (very high demand)
Vile speed ilidunk ,  Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( yeah cheki )
Nikona demand nikona demand  
High demand , very high demand (very high demand )
Vile speed ilidunk ,  Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( cheki )

Buty nilikuwanga na bash iliisha nikiwa under arrest , neighbour alipigia mambang’a
Ati kelele inampea unrest , juu nilimwambianga relax , wacha hiyo  story ya umbea
Kumbe alicatch vibaya sahii we unajuuanga the rest
Mambang’a walisemanga unakaanga familiar, mbona unakaa celeb
Mbona unasema ati bud na unakula hadi stems ey
Niaje unatambua freedom saa ile uko ndani ya cell ey  
Aje dame yangu anadaingi dame ya nesh ( Whoa yeah )
Sielewi nini unafanyanga less ,eyy
Baby out of respect ni ati huyo kijana ako blessed
Si shida yako ni nesh , nesh anafanyanga mess
So baby what you expect ni ati huyo kijana ako blessed juu

Nikona demand Nikona demand  
High demand , very high demand (very high demand)
Vile speed  ilidunk ,  Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( yeah cheki )
Nikona demand Nikona demand
High demand , very high demand (very high demand)
Vile speed ilidunk ,  Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( cheki )

(cheki cheki cheki )
Nikona high demand , tire inafungwa na handy man
Huskii Tangu nishike kakitu  sipendi kusanif ma bangi man
Nakemba shawty amecarry ma vitu na akona mbaba rada ni gani
Leta hiyo namba ama ni gwan? Nikona gwala bila kitambi naweza zimwaga
Unataka ma versace balenciaga, prada ama nikupigishe gabana
Umevaa mbwakni  baby nitakusuka kama nganya
Hapa  tunaongeza hadi haga whoa yeah
I’m the new sheriff in town wakiniona wanapiga manduru whoa eyy
Wallet imejaa ma brown kama dental ya msee wa nakuru ( whoa ey )
Kuru ni noma nigenje , haunitakia mawembe, nakata mangoko vicray cray
Ambia haka ka hater katembee, kaende katulize nyege
Naweeza supply hiyo stick bila tembe na demand inapandanga daily

Nikona demand Nikona demand  
High demand , very high demand (very high demand)
Vile speed  ilidunk ,  Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( yeah cheki )
Nikona demand Nikona demand
High demand , very high demand (very high demand)
Vile speed ilidunk ,  Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( cheki )

Woo woo woo yeah
Woo woo woo yeah
Nikona demand , haa

Watch Video

About Demand

Album : Mawingu (EP)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Dec 21 , 2022

More BOUTROSS Lyrics

BOUTROSS
BOUTROSS
BOUTROSS
BOUTROSS

Comments ( 0 )

No Comment yet

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl