...

Maria Lyrics by BIG FIZZO


Ooh ho ho ho ho

Fizzo baby, hmmm

Maria maria

Mi amor te quiero

Maria maria

Nipende wapate kero

Hakuna, hakuna, hakuna kama we

Nipe yote mama nipagawe

Hakuna ,hakuna ,hakuna kama we

Nipe yote mama nipagawe

Una kila sababu

Ya kuniharibu ubongo

Mama unanipaga taabu

Vile unavyopindaga mgongo

Unanikoshaga , unanikoshaga ( unanikoshaga )

Na jasho lako tiriri

Ukiinogeshaga, ukiinogeshaga

Kitandani tukiwaga wawili

Fais-moi ceci, fais- moi cela

Touche-moi ici, touche-moi là, là

Tu me rends fou

Fais-moi ceci, fais- moi cela

Touche-moi ici, touche-moi là, là

Tu me rends fou

Maria maria

Mi amor te quiero

Maria maria

Nipende wapate kero

Hakuna, hakuna, hakuna kama we

Nipe yote mama nipagawe

Hakuna ,hakuna ,hakuna kama we

Nipe yote mama nipagawe

Silali niko gado

Nakusubiri mama

Univushe huko ngambo

Kwako nimezama

Hivi inatosha ao niongeze gia ( niongeze )

Zidi kuipasha, utamu kolea ( wewe niambie )

Hainaga shombo,

Naterezaga kama ganda la ndizi

Mduara kwa jimbo

Utamu wa ndoto raha ya usingizi

Ooh mama, nimegoma

kwako niko salama

Fais-moi ceci, fais- moi cela

Touche-moi ici, touche-moi là, là

Tu me rends fou, oh maria, maria

Maria maria

Mi amor te quiero

Maria maria

Nipende wapate kero

Hakuna, hakuna, hakuna kama we

Nipe yote mama nipagawe

Hakuna ,hakuna ,hakuna kama we

Nipe yote mama nipagawe

Watch Video

About Maria

Album : (Single)
Release Year : 2024
Copyright :
Added By : Farida
Published : Oct 31 , 2024

More BIG FIZZO Lyrics

BIG FIZZO
BIG FIZZO
BIG FIZZO
BIG FIZZO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl