Sugar Rush Lyrics
Sugar Rush Lyrics by BENSOUL
Je unakumbuka kule tumetoka
Miaka imepita yeah my love
Ona vile picha mmmh
Jua likitua nyota zinatangaza kuwa nakupenda
Na wewe unajua, unajua mama ma
Mama my love we ndo raha yangu
We ndo furaha yangu
My sugar my sugar rush
wewe ndo raha yangu
We ndo furaha yangu, mwanga wangu
Furaha yangu, raha yangu
Je ungependa mmmh, tuonane tena
Ju mi hukumiss sana my love
Kila siku nakuwaza ooo yeah
Jua likitua mwezi utatangaza bado nakupenda
Wewe unajua, unajua mama
Mama my love we ndo raha yangu
We ndo furaha yangu
My sugar, my sugar rush
wewe ndo raha yangu
We ndo furaha yangu, mwanga wangu
(Milele lele)
Furaha yangu, raha yangu (Uyee uyele uyelelele)
Watch Video
About Sugar Rush
More lyrics from Medicine (EP) album
More BENSOUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl