Stereo Lyrics
Stereo Lyrics by BENSOUL
I fell in love with a Kenyan girl
Umbo lake lanifanya zuzu (Toto si toto)
And She fell in love (She fell in love)
With my rasta vibe, penzi lake laniweka juu (Juu juu)
And I thought my eyes and her melanin
Would make such beautiful bouncing baby (Katoto fupi round)
So we fell in love on this sandy beach
Penzi lake kwangu ni muziki
Yes ooh, yes ooh, nimepata mpenzi
Penzi lake stereo tamu sana
My ooh, my ooh, nimepata mpenzi
Penzi lake stereo tamu sana
Yes ooh, yes ooh, nimepata mpenzi
Penzi lake stereo tamu sana
My ooh, my ooh, nimepata mpenzi
Penzi lake stereo tamu sana
Wapendanao wakipatana (Wakipatana)
Tarumbeta zasikika wee (Shubira...)
Mapenzi yao (Mapenzi yao), kama savanna
Kukiwaka kumewaka wee
And now it's the time for love and romance
And I take this chance to say I love yah
So let's make a vow
On this sandy beach
Penzi lako kwangu ni muziki
Yes ooh, yes ooh, nimepata mpenzi
Penzi lake stereo tamu sana
My ooh, my ooh, nimepata mpenzi
Penzi lake stereo tamu sana
Yes ooh, yes ooh, nimepata mpenzi
Penzi lake stereo tamu sana
My ooh, my ooh, nimepata mpenzi
Penzi lake stereo tamu sana
(Aah okey mmmh mmh mmh)
Mziki wa pesa mziki bila presha
Vunja mgongo, mgongo mgongo mgongo
Vunja mgongo, mgongo mgongo mgongo
Yes ooh, yes ooh, nimepata mpenzi
Penzi lake stereo tamu sana
My ooh, my ooh, mama my ooh nimepata mpenzi
Penzi lake stereo tamu sana
Watch Video
About Stereo
More lyrics from Medicine (EP) album
More BENSOUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl