Niombee Lyrics
Niombee Lyrics by BENSOUL
Mama, papa
Naomba baraka kwenyu
Niondoke mimi
Dada, brotherman
Hebu someni kwa bidii
Ndio mje mjini
Hapa, hapa nyumbani
Sisi sio matajiri
Ila tunayo akili
Chochote unachohitaji
Ukikifanyia kazi
Yeye atakibariki
Ila wewe
Usisahau kuomba
Na kila unapoomba
Niombee, nikuombeee
Kwani maombi yangu pekee
Hayawezi
Niombee, nikuombeee
Kwani maombi yangu pekee
Hayawezi
My now, my future
Yeye ndiye ajuaye
Yeye ndiye apangaye
Jana leo kesho(And every other day)
Yeye ndiye ajuaye
Yeye ndiye apangaye
Popote, unapohitaji kwenda
Yeye atakufikisha
Weka imani kwake
Shida zako zote
Hakuna linalomshinda
Ila wewe
Usisahau kuomba
Na kila unapoomba
Niombee, nikuombeee
Kwani maombi yangu pekee
Hayawezi
Niombee, nikuombeee
Kwani maombi yangu pekee
Hayawezi
Niombee, nikuombeee
Kwani maombi yangu pekee
Hayawezi
Niombee, nikuombeee
Kwani maombi yangu pekee
Hayawezi
Nawe usisahau kuomba
Na kila unapoomba
Niombee, nikuombeee
Kwani maombi yangu pekee
Hayawezi
Watch Video
About Niombee
More BENSOUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl