Sikukuu Lyrics by BEN POL

Ben Pol - Sikukuu lyrics

Sikukuu imefika eeh
Mwaka mpya unafika eeeh
Upite salama baba eeh
Sote sote tuwe salama 
Baba ooh mwana ma

Christmas imefika eeh
Mwaka mpya umefika eeeh
Ufike salama eeh
Upite salama baba 
Umalizike salama 
Baba ooh mwana ma

Tuombee Mungu wa kina baba na mama eeh
Tuombee Mungu wa kina kaka na kina dada eeh
Hata wapenzi wa nyimbo zetu baba
Wapenzi wa burudani eeeh mwana mama
Tuwe salama salimini eeh, tuwe salama eeh 
Salama mwana mama

Kuna wengine sasa wako hosipitali
Kuna wengine tena wameshakufa ooh
Kuna wengine tena wako kifungoni
Waliobaki oooh baba oooh
Waliobaki, saidia masikini baba oooh
Saidia masikini baba eeh 
Eeeh mwana mama

Kuna wengine sasa wako hosipitali
Kuna wengine tena wameshakufa ooh
Kuna wengine tena wako kifungoni
Waliobaki oooh baba oooh
Waliobaki, saidia masikini baba oooh
Saidia masikini baba eeh 
Oooh mwana mama

Ala wewe uliye mzima mshukuru Mungu 
Kumaliza mwaka siku hizi ni jasho ooh baba
Kifo cha sasa kama maji 
Yatokapo yaendapo hayajulikani 
Oooh Mwana mama oooh
Tuombee Mungu daima mama

Miaka yaenda mbio mwana mama
Siku zaenda mbio twende wapi?
Miaka yaenda mbio mama
Siku zaenda mbio mwana mama

Miaka yaenda mbio mama
Siku zaenda mbio mwana mama
Usile ya kumaliza mwana mama
Kwani kesho kutwa sikukuu sikukuu

Miaka yaenda mbio mama
Siku zaenda mbio mwana mama
Miaka yaenda mbio mama
Siku zaenda mbio mwana mama

Usile ya kumaliza mwana baba
Weka kidogo ya sikukuu, ya sikukuu
Miaka yaenda mbio mama
Siku zaenda mbio mwana mama

Miaka yaenda mbio mama
Siku zaenda mbio mwana mama

Music Video
About this Song
Album : Sikukuu (Single),
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By: Huntyr Kelx
Published: Dec 19 , 2019
More Lyrics By BEN POL
Comments ( 0 )
No Comment yet