BEN C Ningekua God cover image

Ningekua God Lyrics

Ningekua God Lyrics by BEN C


Mmhh
You know it’s hehe
You know it’s hmm
You know it’s
Ben C again

Nengekua God
Nengekua God
Nengekua God
Nengekua God
Nengekua God
Ningefananisha sura na tabia ndio kutoka far tunajua wale watiaji
Nengekua God
Ningefanya sin iwe kama beer
Ndio tupime dhambi zako tu na vile uko maji
Nengekua God
Malipo yengekua tu there and then hakuna cha kungoja
Nengekua God
Dhambi inakutoa nguo kama eden ki-adam na eva
Nengekua God
Mboko inakupata saa hii, ukicheat
Mboko inakupata saa hii, ukithief
Mboko inakupata saa hii, ukiskio church
Mboko inakupata saa hii, like pap
Hakuna kuwaiy yani hakuna kungoja
Kuficha dhambi haingekuwa hoja
Pap ukisin pap unalose toja
Kapo ingebidi pap umekuwa soldier
Wa kufwatanga zake kanuni mi ningewachoma ka moto na kuni
Hizo ndio vitu kadhaa ningebuni kama siku moja

Nengekua God
Nengekua God
Nengekua God
Nengekua God
Nengekua God

Mngekua mnalipia hii life kama rent
End month kong kong lipa ama uishi kwa tent
Ukilive right unaongezwa ka gate na ka fence ukisin maji nakata na naongeza rent
Hewa ningepima kumi kumi ka chang’aa
Na ninakata ukianza kuleta umang’aa
Chakula ungepata ukitubu mara kadhaa
Hakuna kitu ungepata ka hujapiga sala
Baraka ungelipia kama fare ukisin unadondoka hakuna cha kuongea
Wenye dhambi ndio wangekuwa msoto
Ingebidi kutembea ama kudandia mkolo
Ukisin mboko inakupata saa hii
Ukicheat mboko inakupata saa hii
Ukithief mboko inakupata saa hii
Ukiskip church mboko inakupata saa hii like pap
Nao wale wasio fwatanga zake kanuni
Mi ningewachoma ka moto na kuni
Hizo ndio vitu kadhaa ningebuni kama siku moja

Nengekua God
Nengekua God
Nengekua God
Nengekua God
Nengekua God

Watch Video

About Ningekua God

Album : Ningekua God (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Feb 02 , 2022

More BEN C Lyrics

BEN C
BEN C
BEN C

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl