True Ninja Lyrics
True Ninja Lyrics by BEN C
You know it’s
You know it’s, hehe
You know it’s ben c again
Maadili, yake
Nayafwata daily so kamwe sitobadili
Nayafsiri yake
Maandishi yalivyoandikwa sitobadili
Mi, akose kunipa lolote
Au, nifanikiwe kama dangote
Niwe na mali ama nisote
Mi, nitabaki kuwa true kwake nitabiki real
Ukikosea nikugote
Ukianguka bado n’kuokote
Mi, sikudanganyi kwa lolote
Ndio maana wakanipa mi jina
Wananiita the true ninja
True ninja
Aah wananiita the true ninja
Mmmhh wananiita the true ninja
True ninja
Aah wananiita the true ninja mmmhh
Pia wewe ni true ninja
Una keep it real
With your God wewe ni true ninja
Una hustle, una hustle wewe ni true ninja
Unabonga, bila chuki wewe ni true ninja
Kaza moyo we ni true ninja
Mmmh jiamini we ni true ninja
After success tabia usi change wewe
Hata njiwa akipaa paa angani hachange kuwa mwewe
Push it down low kale kaudaku
Push it down low low low low
Push it down low, hasira na wivu
Push it down low low low low
Kupigana wita, sitambu
Ukabila sitambu
Mi ni true ninja, sitambu
Shida sitambu
Moyo wangu mi ashamiliki
Mola ashamiliki
Kama nikatoliki mi nasadiki
Mi nasadiki
Ndio wananiita the true ninja
True ninja
Aah wananiita the true ninja
Mmmhh Ndio wananiita the true ninja
True ninja
Aah wananiita the true ninja
Pia wewe ni true ninja
Una keep it real
With your God wewe ni true ninja
Una hustle, una hustle wewe ni true ninja
Unabonga, bila chuki wewe ni true ninja
Kaza moyo we ni true ninja
Mmmh jiamini we ni true ninja
Una keep it real
With your God wewe ni true ninja
Una hustle, una hustle wewe ni true ninja
Unabonga, bila chuki wewe ni true ninja
Kaza moyo we ni true ninja
Mmmh jiamini we ni true ninja
Watch Video
About True Ninja
More BEN C Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl