Valentine Lyrics
Valentine Lyrics by BEKA FLAVOUR
Valentine yeah
My valentine yeah
Kwako nimetulia kama maji kwa mtungi
Napata raha
Vile wanipatia kitenesi sidungi
Nimenywea
Unanipa burudani tam tam
Sijivungi kukusifia
Penzi lako limejaa masham sham
Moyo haudungi umetulia
Na hivi leo ndo Valentine day
Onyesha mapenzi yako yote kwangu baby
Unapotaka niambie twende
Leo siku ya wapendanao usikonde
Basi baby we nishow, love love
Na mimi nikushow, love love
(Tuonyeshane mapenzi)
Baby we nishow, love love
Na mimi nikushow, love love
(Tuonyeshane mapenzi)
Vimaua ua ndo siku yake leo baby
Siwezi kujichetua nikuchanganye mi sipendi
Nimependa ua na boga lake vyote baby
Vizuri unanijua kwako beki hazikabi
Nguo sare sare tukivaa tupendeze
Za rangi nyekundu na makopa niwagize
Siku ya leo we na mimi tuwe busy
Kusherekea malavida
Na hivi leo ndo Valentine day
Onyesha mapenzi yako yote kwangu baby
Unapotaka niambie twende
Leo siku ya wapendanao usikonde
Basi baby we nishow, love love
Na mimi nikushow, love love
(Tuonyeshane mapenzi)
Baby we nishow, love love
Na mimi nikushow, love love
(Tuonyeshane mapenzi)
I love you forever moyo ujaze huba
Anayekupenda sana anavumilia shida
Wanasema penzi pesa huo ni uongo
Mi ni mwili we ni uti wa mgongo
Toka tumejuana miaka mingi sana
Mpaka leo tunakaribia kufanana
Najua we wa kwangu peke yangu
Duniani ahera ni mimi, bado ya Mungu
Mwaga makopa kopa, mahaba kama yote
Wenye chuki wabaki na chuki zao
Tuwashangae wanaachana siku ya wapendanao
Na hivi leo ndo Valentine day
Onyesha mapenzi yako yote kwangu baby
Unapotaka niambie twende
Leo siku ya wapendanao usikonde
Basi baby we nishow, love love
Na mimi nikushow, love love
(Tuonyeshane mapenzi)
Baby we nishow, love love
Na mimi nikushow, love love
(Tuonyeshane mapenzi)
Watch Video
About Valentine
More BEKA FLAVOUR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl