Tenda Tena Lyrics
Tenda Tena Lyrics by BEATRICE MWAIPAJA
Ni muda kabla utabasamu
Huoni matunda ya kazi yako ngumu
Kila Siku magoti kwa madhabao
Ila jibu no mbingu imenyamaza kimya
Karo ya shule na Kodi washindwa
Utaitoa wapi
Tena maswali Ni Mengi Ni jibu tu
Umekosa
Ona Yesu anabisha anasema shida
Zimekwisha
Roho yako atuisha
Mfungulie
Kama alitenda Yesterday atatenda leo
Hajabadilika Kamwe Kama alitenda Yesterday
Atatenda leo
Hajabadilika Kamwe
Anakuona Sanar vile umekazana
Ila bila mafanikio anaona tu
Hakuna Mbaya anasema Ila
Hauko pekee yako tu
Mungu Si Binadamu avunje agano lake
Anangoja Imani yako atimize agizo lake
Lipi gumu kwake Hakuna lisilomshinda
Fedha Ni zake Deni atakulipia
Ona Yesu anabisha anasema shida
Zimekwisha
Roho yako atuisha mfungulie
Kama alitenda Yesterday atatenda leo
Habadiliki Kamwe Ule sa wa kusema
Maneno haya bila hofu na mashaka
Usoni Sina haya
Ule saa wa kusema
Maneno haya bila hofu na mashaka
Usoni Sina haya
Kufuta ubaya wangu
Kuondoa mashaka na kunipaa ujasiri
Umefuta machozi yangu umerejeshwa
Umerejesha furaha yangu iliopotezwa
Umetenda Bwana Umetenda Yesu
Wewe Ni Mungu unayetenda unatenda
Unatenda tenda na tenda unatenda tenda tenda(x2)
Umenitendea Mengi Bwana
Umenitendea Mengi Mungu
Nimeziona fazili zako kwangu
Ule ubaya walionitakia
Wewe Mungu sio kama Mwanadamu
Kila siku Kuna mema
Kila siku Mungu unanipandisha Juu
Sifa utukufu nakupa Mungu wangu
Wewe Ni Mungu unayetenda unatenda tenda na tenda tenda na tenda unatenda tenda na tenda (x2)
Watch Video
About Tenda Tena
More BEATRICE MWAIPAJA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl