Yuko Lyrics
Yuko Lyrics by BAND BECA
Yuko, Mungu wangu yuko
Naamini yuko
Kila siku yuko, ooh ooh ooh
Yuko, Mungu wangu yuko
Tuamini yuko, Kila siku yuko
Oooh ooh ooh
Kwa yale umenitendea(Asante)
Kwa afya njema umenipa baba(Asante)
Njia zangu kafungua(Asante)
Kuonyesha umeniinua(Asante)
Yuko, Mungu wangu yuko
Naamini yuko
Kila siku yuko, ooh ooh ooh
Yuko, Mungu wangu yuko
Tuamini yuko, Kila siku yuko
Oooh ooh ooh
Kwenye rent umeniokoa
Na mastress umeziondoa
Kufuliza na kuokoa(aiii)
Umeniokoa
Kwa mashida umenitoa
Neno lako kanikomboa
Na mimi sitawahi pungukiwa
Yuko, Mungu wangu yuko
Naamini yuko
Kila siku yuko, ooh ooh ooh
Yuko, Mungu wangu yuko
Tuamini yuko, Kila siku yuko
Oooh ooh ooh
Yuko, Mungu wangu yuko
Naamini yuko
Kila siku yuko, ooh ooh ooh
Yuko, Mungu wangu yuko
Tuamini yuko, Kila siku yuko
Oooh ooh ooh
Yuko, Mungu wangu yuko
Naamini yuko
Kila siku yuko, ooh ooh ooh
Yuko, Mungu wangu yuko
Tuamini yuko, Kila siku yuko
Oooh ooh ooh
Yuko, Mungu wangu yuko
Naamini yuko
Kila siku yuko, ooh ooh ooh
Yuko, Mungu wangu yuko
Tuamini yuko, Kila siku yuko
Oooh ooh ooh
Watch Video
About Yuko
More BAND BECA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl