Ni Wewe Lyrics
Ni Wewe Lyrics by BAND BECA
Bwana niko mbele zako
Mikono nainua
Natambua ufalme wako
Hosana
Baba niko mbele zako
Mikono nainua
Nitaimba sifa zako
Hallelujah
Ni wewe, nani kama wewe
Ni wewe, hakuna kama wewe
Ni wewe, nani kama wewe
Ni wewe, hakuna kama wewe
(Ooh hallelujah)
Bwana niko mbele zako
Mikono nainua
Natambua ufalme wako
Hosana
Baba niko mbele zako
Mikono nainua
Nitaimba sifa zako
Hallelujah
Baba niko mbele zako
Mikono nainua
Nitaimba sifa zako
Hallelujah
Ni wewe, nani kama wewe
Ni wewe, hakuna kama wewe
Ni wewe, nani kama wewe
Ni wewe, hakuna kama wewe
Na malaika wanaimba kwa furaha wakisema utukuzwe bwana
Na mataifa yasujudu yakikiri kwamba wewe ni mweza
Upendo wako(wanijaza roho wewe ndiwe Mungu)
Na neno lako (lanijaza roho Mungu wa miungu)
Ni wewe, nani kama wewe
Ni wewe, hakuna kama wewe
Ni wewe, nani kama wewe
Ni wewe, hakuna kama wewe
Na malaika wanaimba kwa furaha wakisema utukuzwe Bwana
Na mataifa yasujudu yakikiri kwamba wewe ni mweza
Na malaika wanaimba kwa furaha wakisema utukuzwe Bwana
Na mataifa yasujudu yakikiri kwamba wewe ni mweza
Na malaika wanaimba kwa furaha wakisema utukuzwe Bwana
Na mataifa yasujudu yakikiri kwamba wewe ni mweza
Watch Video
About Ni Wewe
More BAND BECA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl