Ndoto Lyrics
Ndoto Lyrics by BAHATI
Mmmh Mbogi Genje
Mbogi genje, niko genje
Bahati...
(EMB Records)
Skiza, ni mbali nimetoka
Mawazo stress lini nitaomoka
I've seen my friends die everyday ey
Because of crime I loose my day eeh
[Guzman]
Guzuu..
Nikirise kwa ftiach ya mroko
Alini-guide nakukashifu usoro
Ady bonoko tulikashi na mnoko
Tukitapo mamkish maorosho
Never forget sheito alikua angel
Ukimdiss anakuviet na attention
Alitekeswa kipaji na underration
Na ukimkashif anajua ye ni devil
Ka riang'a siinzagi kwa mongo
Ka riang'a siinzagi kwa mongo
[Chorus: Bahati]
Ebu cheki nimetoka mbali
Ni kama ndoto
Ebu cheki naenda mbali
Ni kama ndoto
Ebu cheki nimetoka mbali
Ni kama ndoto
Ebu cheki naenda mbali
Ni kama ndoto
Mi nina ndoto nitoke kwa mtaa
Niwe sonko mami-ii
Niwache crime niuze na bidhaa
Kabiashara nani-ii
Mi nina ndoto ya kukuwa star
Internationally-ii
Nirudi home nibadilishe mtaa
Kwetu Mathare nani-ii
[Smady Tings]
Livity nimepitia ni ordeal
Na ndo maana youth wanasuffer nawafeel
Na ndo maana, daila mi natry kukeep it real
Siku mingi wamejaribu kuni-derail
Mbogi ndo mi nawavutishanga line
Walibaki nikachorea ku force line
Ju design nilikuwa sawa ni kama ni lime
Nikihope some day vitu zitakuwa fine
Hustle noma lakini sijajipin
Ju bidii ndio kitu ilinitoa kwa scene
Walijudge hawakumezea nimebeba dream
Na siwezi loose life ndo nipandisie king
[Chorus: Bahati]
Ebu cheki nimetoka mbali
Ni kama ndoto
Ebu cheki naenda mbali
Ni kama ndoto
Ebu cheki nimetoka mbali
Ni kama ndoto
Ebu cheki naenda mbali
Ni kama ndoto
[Militan]
Wholla jai rengwa zote ni kirao (Ni kirao)
Janta some kabla nijichape mboka
Ghetto youth kila gota ni kujuggle
Hawadai maghetto youth wagonye dibra
Daila ni kufruss wakiturianyu
Jahjahre nauwo tunazied gwatha
Lutu amasung sirudi manyu
Nimeviex vile rima kumeidra
Sina riang kama daila niko furda
Med zole zinaitisha surba
Ju nadai zinibebe kama ubra
Ju nadai zinibebe kama ubra
[Bahati]
Mi nina ndoto nitatoka chini
Nina ndoto mtoto wa masikini
Nina ndoto nitaenda far
Nicheze ligi ya mabingwa kama Wanyama
[Chorus: Bahati]
Ebu cheki nimetoka mbali
Ni kama ndoto
Ebu cheki naenda mbali
Ni kama ndoto
Ebu cheki nimetoka mbali
Ni kama ndoto
Ebu cheki naenda mbali
Ni kama ndoto
[Outro]
Watu wangu wa ghetto
Watu wangu wa ghetto
Mathare mashimoni
Huruma vibandani
Watu wangu wa ghetto
Watu wangu wa ghetto
Eastlando yoh yoh
Msifu moyo yoh yoh yoh
Watch Video
About Ndoto
More BAHATI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl