Mapenzi Lyrics
Mapenzi Lyrics by BAHATI
Na na na
Hehehehe
hapo mwanzoni, hapo mbeleni
shamba Edeni, ah story ya mapenzi
wengi kwa mapenzi hawana imani, yaliwaumiza sana
mapenzi yanatesa zaidi ya money
Na yalimtesanga kakangu zamani
nyumbani kawa kisirani,
washiriki katoka kanisani lalala
yalimtesanga kakangu zamani,
wameyalinda wengi kwa burudani
kwenye yaonyeshwa msalabani lalala
oh oh oh, mapenzi kwa nini watesatesa
Oh oh oh, aliyekuumba ni Mola
Nilifunzwa na Babu ndoa ilivyomtunza,
nikasoma kwa baba naye, Adamu pendana
Na Adamu akampenda Hawa ndio maana kala lile tunda
hapo ndipo amri ikazaliwa unakumbuka eh,
Na Adamu akampenda hawa nami nadhani tu,,,
mapenzi yafanya tu nachezwa.
oh oh oh, mapenzi kwa nini watesatesa?
oh oh oh, aliyekuumba ni Mola
Nikaogopa kupenda tena, nikaogopa kupata wangu
Mtoto mama eh,mbona unatesa mapenzi?
mbona unatesa kwa nini? mbona unatesa mapenzi?
Kazini,nyumbani,kanisani.
oh oh oh, mapenzi kwa nini watesatesa?
oh oh oh, aliyekuumba ni Mola
Ah nikaogopa kupenda tena ,nikaogopa kupenda tena,
mungu kaumba mapenzi, mungu kaumba mapenzi,
story ya mapenzi, story ya mapenzi ilianza Edeni.
mungu kaumba mapenzi, mungu kaumba mapenzi
mtoto mama, Bahati tena
Watch Video
About Mapenzi
More BAHATI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl