Bahati team up with Just In Love Music artis Otile Brown for the first time to release "Je U...

Je Unanifikiria Lyrics by BAHATI


(EMB Records)
Woouwoo uwoo uwoo uwoo (Mesesi)
Woouwoo uwoo uwoo uwoo (Teddy B)

Penzi letu likolee Monday mpaka Sunday
Wawache waongee mi nikupende
Twende mbali wajionee
Usiniache ningojee
Navyokupenda nipokee oh my baby

Ah na je unanifikiria, vile nakufikiria
Je unanishikilia, vile nakushikilia

Uzuri wa moyo wako
Na huo uzuri ulonivuta kwako
Kwako sioni siambiliki
Kwako nalewa bia
Ah, mambo yananyooka tiki
Mola anatujalia

Nakupenda peke yako mi wako
My baby, my lady
Nobody badder than you
Nobody badder than you

Je unanifikiria, vile nakufikiria
Je unanishikilia, vile nakushikilia
Je unanifikiria, vile nakufikiria
Je unanishikilia, vile nakushikilia

Hii dunia sijampata 
Wa kumfananisha na wewe, na wewe
Dunia dunia
My beautiful, body nalo fine, fine
Shepu nalo fine, fine
Umbika aki walai

Ni wewe, anipendaye wewe
Anifarijiaye wewe
Aniwazae wewe
Wewe, anipendaye wewe
Anifarijiaye wewe
Aniwazae wewe

Baby baby nauliza
Je unanifikiria? Vile nakufikiria
Je unanishikilia? 
Je unanifikiria? vile nakufikiria
Je unanishikilia, vile nakushikilia
Oooh...

Watch Video

About Je Unanifikiria

Album : Je Unanifikiria (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 16 , 2021

More BAHATI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl