Block Lyrics
Block Lyrics by BAHATI
Weezdom, na Bahati, Bahati tena
Devil akiacha missed call, Block!
Kwa Insta, Block!
Devil akiacha missed call, Block!
Facebook twitter, Block!
Devil akiacha missed call, Block!
Kwa Insta, Block!
Devil akiacha missed call, Block!
Facebook twitter, Block!
Simu inalia para parara
Hii ni tempting, hii ni fire
Simu inalia para parara
Inavutia ka sauti ya kwaya
Simu inalia para parara
Hii ni tempting, hii ni fire
Simu inalia para parara
Inavutia ka sauti ya kwaya
Say ahuu ooh nah nah
Akili yangu inago gaga
Say ahuu ooh nah nah
Mimi na dhambi tunagombana
Devil akiacha missed call, Block!
Kwa Insta, Block!
Devil akiacha missed call, Block!
Facebook twitter, Block!
Devil akiacha missed call, Block!
Kwa Insta, Block!
Devil akiacha missed call, Block!
Facebook twitter, Block!
Yoh, cheki CCTV na God yuko inadi
Amenibless vimajor, uliza Madi
Hajai cancel, na hii si dancehall
Ni ushuhuda wangu kutoka mwanzo
Mi ni kaa kivuli vile God amenilock
Ju devil akinisearch anapata nimemblock
Kitambo nilikuwa na wasiwasi
Nilitaka vitu zifanyike ka si kazi
Oya oya, since I know
Mungu wangu hachelewi ashanipa signal
Always on time
If you know you know
Devil akiacha missed call, Block!
Kwa Insta, Block!
Devil akiacha missed call, Block!
Facebook twitter, Block!
Devil akiacha missed call, Block!
Kwa Insta, Block!
Devil akiacha missed call, Block!
Facebook twitter, Block!
Ooh do you hear devil
Knocking, knocking, knocking
Oooh namblock block blocki
No no talki, talki, talki
Kwa Yesu mi na walki walki walki
Ah picki picki pong
Zigi zigi zong
Hii ni Jesus Jesus song
Digi Digi dong
Ah picki picki pong
Zigi zigi zong
Hii ni Jesus Jesus song
Digi Digi dong
Ni Weezdom
Devil akiacha missed call, Block!
Kwa Insta, Block!
Devil akiacha missed call, Block!
Facebook twitter, Block!
Block! Block! Block! Block!
(EMB Records)
Block!
Watch Video
About Block
More BAHATI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl