Barua kwa Mama Lyrics
Barua kwa Mama Lyrics by BAHATI
Bahati Tena Eh...
Ni Furaha Iliyoje Baba Naitoa Moyoni.
Na Ni Furaha Iliyoje Kwako Uisike Hewani.
Ni Barua Ngapi Nimeandika Kwa Njia Ya Muziki?
Na Nyimbo Ngapi Nimeandika Zisizo Za Riziki?,
Ni Barua Ngapi Nimeandika Kwa Njia Ya Muziki?,
Nina Nyimbo Ngapi Nimeandika Zisizo Za Riziki?,
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi
Nikikuita Daddy
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi
Nikikuita Daddy
Kufunga Nikafunga Ila Siri Staki Wajue,
Msamaha Nikaomba Kwa Magoti Nisikuzingue
Kufunga Nikafunga Ila Siri Staki Wajue
Msamaha Nikaomba Kwa Magoti Nisikuzingue
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi
Nikikuita Daddy
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi
Nikikuita Daddy
Barua Yangu Ya Mapenzi Nimeona Niimbe
Barua Yangu Ya Mapenzi Nimeona Niimbe
Barua Yangu Ya Mapenzi Nimeona Niimbe
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi
Nikikuita Daddy
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi
Nikuita Daddy
Ooh Kama Mapenzi Msalabani Ulifanya Zaidi
Na Kama Kipaji, Kwa Burudani Umekuwa Nami
Ooh Kama Mapenzi Msalabani Ulifanya Zaidi,
Na Kama Kipaji Kwa Burudani Umekuwa Nami.
Kuna Wengi Wanaodai Mapenzi Kumbe Walaghai
Wana Badili Face Kama Kinyonga Kamwe Hawafai
Kuna Wengi Mjini Wanaodai Mapenzi Kumbe Hawafai
Wana Badili Face Kama Kinyonga Kamwe Hawafai
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi
Nikikuita Daddy
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi,
Nikikuita Daddy
Watch Video
About Barua kwa Mama
More BAHATI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl