My Valentine Lyrics
My Valentine Lyrics by B2K MNYAMA
Starbeat booooy aaah
Fanya kitu washangae kipenzi changu
Wajue uko tofauti na walee
Wanao nijaza hasira ndani ya moyo wangu
Nawambia hatuwezi kuachana
Eti beby unaonaje
Watu wakiwa wanatusema si tunaongeza mahaba
Na si watanunaje dear
Maana kila wanachosema hakiwezekani kwa sasa
Niko na ua nzuri, hili linaongeza mapenzi ukiliona tu
Na usinge waza kuna kitu siwezi sahau
Nakupenda kweri hilo usiwaze tu
Aaaaah, watawezaje
Kulivunja hili penzi, watawezaje
Wewe na mie dear watawezaje
Aaaaah, watawezaje
Your my valentine, valentine
Your my valentine
Yaani we wa mieee
Your my valentine, valentine
Your my valentine
Nikwambie utulie
Your my valentine, valentine
Your my valentine
Halali yangu mieee
Your my valentine, valentine
Your my valentine
Na basi ukiwa unachekacheka
Una ng’ata kidole mwenzio nikwambiee
Na hapo ndo unaniteka
Nakuwa mpole nikwambie namiee
Na vile mtaratibu
Unanifanya nisihangaike
Fundi kabisa ananitibu, unanilinda nisizurike
Nakubali nakuoa moyo wangu chukua
Kuhusu mapenzi hilo we unajua
Umeniteka siambiliki haija wahi pungua, rahaa
Watawezaje
Kulivunja hili penzi, watawezaje
Wewe na mie dear watawezaje
Aaaaah, watawezaje
Your my valentine, valentine
Your my valentine
Yaani we wa mieee
Your my valentine, valentine
Your my valentine
Nikwambie utulie
Your my valentine, valentine
Your my valentine
Halali yangu mieee
Your my valentine, valentine
Your my valentine
Nakubali moyo wangu nakupa chukua
kuhusu mapenzi we hilo
Unaniteka siambitiki haijawahi
Watch Video
About My Valentine
More B2K MNYAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl