Corona Lyrics
Corona Lyrics by B2K MNYAMA
Oooh aah, oooh
(Naroh)
Yarabi, tuombee
Utuepushe na magonjwa haya
Kuna janga linaitwa Corona
Mwanzo wake huko China
Tujihadhari sana
Maana Tanzania lishafika
Linasambaa kwa kushikana mikono
Naomba kidogo nitoe somo
Kikohozi mafua dalili nazo
Na gonjwa linasambaa humo humo
Kwa kubanana banana
Salamu tulizozoea ni kupeana mikono
Ili ujiweke salama epuka salamu
Za kupeana mikono
Corona, uwe kijana
Kemea Corona, jikinge na Corona
Baba mama
Kemea Corona, jikinge na Corona
Manesi na madoctor
Kemea Corona, jikinge na Corona
Watu wote
Kemea Corona, jikinge na Corona
Haichagui kijana mzee, usafi uzingatiwe
Vaa mask, osha mikono kila muda
Epuka kugusana ovyo kusalimiana kwa mikono
Uwe balozi kwa wenzako kufikisha hili somo
Kemea mikusanyiko ya watu wengi
Maana ndio inasambaa sana
Tumia muda wako uwajuze wengi
Wajikinge na Corona
Kwa kubanana banana
Salamu tulizozoea ni kupeana mikono
Ili ujiweke salama epuka salamu
Za kupeana mikono
Corona, uwe kijana
Kemea Corona, jikinge na Corona
Baba mama
Kemea Corona, jikinge na Corona
Manesi na madoctor
Kemea Corona, jikinge na Corona
Watu wote
Kemea Corona, jikinge na Corona
Watch Video
About Corona
More B2K MNYAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl