ASLAY Kwatu cover image

Kwatu Lyrics

Kwatu Lyrics by ASLAY


It’s another one.
Mwaah ! Mwaah ! Mwaah !

[VERSE 1]
Baby me na we nganganga
Usije ukaenda kwa mganga
Dj embu piga charanga tuchezee    
Wanauliza maswali
Tuwajibu kwa vitendo
Waambie ee wajue  me kwako nishatia nangaaa
Fumba macho usije danga
Utaniumiza roho
Nikila korosho  kula karanga
Tuzimeze ooh
Usiniache nitatanga tanga
Yatima ooh
Unionyeshe aliyekufunza nyakanga
Kitandani njoo

Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama
Sijateleza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee

[CHORUS]
Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kuwa na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kuwa na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu

[VERSE 2]
Ukiwa mbali mwili wote unapooza
Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza
Chai sukari
Mupenzi hebu koleza
Usije ukakurupuka ukaja niacha kwa jeneza

Familia yangu iko polisi inakutafuta wewe
Nasikia unabonge la kesi lakuniteka mie
oooh lololololo oooh
La kuniteka mie eeh eeeeehh…
aaah aaah aaaaaaahh….

Wambie wajue
Mi kwako nishatia nangaa
Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama
Sijateleza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee
Vunja mifupa kama meno ipoo

[CHORUS]
Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kua na wewe (Nakupenda Nakupenda)
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu

[OUTRO]
Nikishika kiuno
Unishika mabega (ayayaa)
Utakapo nigusa kokote mwenzako nalegea (ayayaaa)
Baby humo humo uliponishikia (ayaya)
Uking'olewa meno mwenzako
Navimba mdomo pia (ayayayaya)

Wambie wajue mi kwako nishatia nanga

 

Watch Video

About Kwatu

Album : Kwatu (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Sep 14 , 2018

More ASLAY Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl