
Watajuaje Lyrics
Watajuaje Lyrics by AGNESS SULEIMAN
Nimekesha baa, nimepata bwana
Bila kumposti, watajuaje?
Nimezichanga changa
Pesa za kudanga zipo kwa pochi, watajuaje?
Dada si unakesha gym
Na umeja bila kuposti, watajuaje?
Niache kupita na sponsor wako
Kisa ushosti, mscheew!
Watajuaje? Watajuaje?
Watajuaje? Watajuaje?
Watajuaje?
Nilikuwa sina noti, leo ninazo
Nisipotumia, Watajuaje?
We zima wigi, kopa vikopa
kwani mashosti Watajuaje?
Nilikuwa nimesahau
Kwani vipi si umepanda dau, Watajuaje?
Piga mapicha, twanga pepeta, watajuaje?
Tingisha wowowo, eeh ka unalipa
Watajuaje? Watajuaje?
Watajuaje? Watajuaje?
Watajuaje?
Watch Video
About Watajuaje
More AGNESS SULEIMAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl