Infinity by ADO JOSAN Lyrics

Oh cheza ringa nami(cheza cheza cheza) 
I want two steps to the beat(cheza cheza cheza) 
Inama ekuhindi pole pole
Nitakubeba mwendo wa pole pole

Till infinity, infinity infinity
Infinity infinity, infinity infinity
infinity infinity, infinity infinity

I say simba mwenda pole ndio mla nyama
Haya mama twende pole pole tule nyama
Lamba vidole nikulambe mpaka kiama
Nikikosa sorry ingia kwa dole ungemwona mama

Wapi vinywaji, kata maji mama ringa nami
Chakula mpaka mtaji hasara kitu gani?
Jina unaitwa nani? unatoka dunia gani?
We ni kitu gani? Unang'aa mpaka gizani

Nishike bega na safari mbali sana nawe
Unanitega mwili ili akili ipagawe
Nataka nife nawe, nataka nizikwe nawe
Bora nivikwe mawe na sitoki kwenye my way

Umefanana na malaika wa peponi
Huna tofauti nao malaika wa ghettoni
Nigandishe gundi, ongeza mavumbi
Nipeleke Burundi nikifika sirudi

Infinity infinity
Infinity infinity
Infinity infinity
Infinity infinity

Nikigusa sema unanipenda
Ka redio, redio ooh
Nami tayari nimetega 
Langu sikio mama

Me and you way I make to the top
Me I like when you whine for me nonstop
Whine for me baby girl don't stop

Oh cheza ringa nami(cheza cheza cheza) 
I want two steps to the beat(cheza cheza cheza) 
Inama ekuhindi pole pole
Nitakubeba mwendo wa pole pole

Till infinity,  infinity infinity

Byser, busy kwenye game
Busy kwenye game
Tanzania, Bunjubura Bunjumbura
Africa, Africa

Music Video
About this Song
Album : Infinity (Single),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Mar 12 , 2020
More Lyrics By ADO JOSAN
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment