Get a Tako Lyrics
Get a Tako Lyrics by ADDI CHOKOCH
Gong gong fungua duka
Hiyo dungi kujaa taka toa kutu
Wambo ndio hiyo form anadai sekete
Finya lila lolo bila kelele
Ting a ling is a Hitman ting
Mbichwa kibao tuna legalizing
Take a dash rada ni kwa get a tako
Tuna darua darua hapa hapan tambua
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
Ukikatika na haga una wahi wahi
Waroro wenye tako wanadai dai
Vitu safi, mangwai tuko high high
DMore cheki vile pongi imesimama
Niko Bridge, niko on samahani
Mbichwa kibao tokea joh gizani
Ziwake sana tudare hao mafine queen
Zikishika unawai mshikaji
Ndani ndani kwa ndae ni mamanzi
Meditation, marinating ndio simamation
Cheki vile wanambao ju ya ju ya tu mbati
Mamdem wanawai msee wa mikaki
Ona vitu zinasonga maskani
Tingi tingi chingi si ana fiti fiti
Biggy biggy wana bum biggy beggy
Aki sweety niamshe kijiti
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
They say am getting money
Talk to devil, my Buggati
They say am getting money
Ju nishambuyia hadi Ferrari
Mi siko ndani yani
Ati 'Chokoch' rada gani?
Siku hizi masomo stress
Labda tusome tychi
Walai Madem eightwa Ndanu
Huwa fiti than VT
Nairobi hakuna manzi ya bure
Labda udoz na VVC
Urafiki yako mi stambui
Ka ni ya Kenya in Dubai
Hii game nilianza me
Niko idhaa kutoka zamani
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
Maubez zimeshika
Niko maribaaa ... Niko mariba
Na Anita umebeba
Tebu chunga mimbaaa ... Tebu chunga mimba
(Kaa na rada, kaa na rada)
Na manjege wako rada utadhani dumba
Ni kidogo nilisema utapigwa tisa
Chunga washirika
Hapa si kanisaaa ... Hapa si kanisa
Vuta makamasi unachachishaa ... unachachisha
Azuzu kwenye rada unasafishaaa ... tebu safisha
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
Watch Video
About Get a Tako
More ADDI CHOKOCH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl