Ananiita Lyrics
Ananiita Lyrics by ADDAH
Hehee heeeee
Hoooh hooooo
[Verse 1]
Safari yako imekuwa ya ghaflaa
Iloacha manjonzii
Umeondoka mwanga waangu
Hata mbele sioniii
Mwiba ulonichoma unaniumaa
Kuvumulia siwezi
Uliniaga ukirudi
Nitaitwa baba mzazi
Mi mfa maji bado natapatapaaa
Uhakika kukupataa
Kweli nimekupoteza
Ila moyoni nina mashakaa
Mbona nilihakikishaa
Nimemzika kwa mikono yangu
Sina uhakikaa
Nahisi ndoto zangu tuu
[Chorus]
Ananiitaa, ananiiitaa
Ananiita akidai
Yeye ajafa baadooo
Ananiitaa, ananiiitaa
Ananiita akidai
Yeye ajafa baadooo
Huku akivuta shuka laangu
Ananiitaaa
Na kuita jina langu eeh
Ananiitaaa
Na kuita jina laangu eeh
Ananiita akidai
Yeye ajafa baadooo
[Verse 2]
Nafikiri upweke wangu
Unanisumbua
Au mapenzi yangu
Kwake yalopitiizaa
Siamini ndoto zaangu
Na kinachonitokeaa
Kile kipenzi cha nijia Mola
Alichochukuaaa
Ati tena simuoni usoni
Amenipotea poteea
Mshumaa umezimaa
Na nuru imezimaa
Napapasa kutembea
Nilie na nanii?
Nishakuwa yatima wa mapenzi
Mi nipo fumboni
Na wimbi la majonzii
'Ananiitaaaa'
Mbona nilihakikisha eeh
Nimemzika kwa mikono yaangu
Sina uhakika oooh
Nahisi ndoto zangu tu
[Chorus]
Ananiitaa, ananiiitaa
Ananiita akidai
Yeye ajafa baadooo
Huku akivuta shuka laangu
Ananiitaaa
Na kuita jina langu eeh
Ananiitaaa
Na kuita jina laangu eeh
Ananiita akidai
Yeye ajafa baadooo
Lolololoo oh ajafa baado
Ananiita itaaa
Ahh ajafa badoo
Eeeh lololo.....
[Chorus]
Ananiitaa, ananiiitaa
Ananiita akidai
Yeye ajafa baadooo
Watch Video
About Ananiita
More ADDAH Lyrics
Comments ( 1 )
J'aime
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl