High Noon Lyrics

ABBAS KUBAFF Feat KHALIGRAPH JONES & WAKADINALI Kenya | RnB,

High Noon Lyrics


Nimelay lowkey, niliangusha padlock
Sai natoa lock na mikono za Hancock
Waliagiza tot wakapewa ma-hate shark
1, 2, 3
 
Niko fresh bila prince, uncle hanifeel
Aunt Vivian na Hillary si wako na base
Ata kama sijawajazz bado nachill
Mi sio Jeffrey na bado nadeliver at will
 
Ashely hii ni rap for real
Khaligraph, Wakadinali na Abbas Scooby
Yeah naamka mapema lately
Siwezi mwaga unga ju mkate ni basic
Manna toka heaven ladha yake ni tasty
Son blessed nilikuwa tangu the '80s
Naweza sound horny nikisema self raising
Usimind, grind yangu huwa amazing
 
To be or not to be, I have to be
Do biz or not do biz, Abass Kubaff Kong Kong
 
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni
Na rende ina ride through
Ata mitaa za mbali sio piga scene tupu
Naplan kuwa tycoon
 
Guess ni wodo inapairu kushinda titration
Testing what? My crew
Nilibuy ngware kindukulu 'Shh shh
Ndo nikuwe na high noon
Nina miaka kadhaa kwa game na mpaka sasa hawanigusi
Wacha tudistinguish nani rapper, nani pussy
Nani shark, yaani papa, nani sushi
Ju maboy nili-inspire, ndio mpaka sasa wananitusi
But come to think of it, ndio rap iko
Kudisagree ni rapper mgani ataeka verse mwisho
As long as unaweza roga, mistari zimetosha mboga
Na rhymes gimical in order na uko tactical
Then it display easy, whether last ama kwanza
 
Haswa hii mbogi yangu ni ya waras na wajanja
We ni snitch, unadhani mbona si hukushuku
Kutuseti ndio zako juu ya marupurupu
Leave you in a coma, hapana alama ya dukuduku
Natukuteke kila kitu ubaki utupu tupu
Siwezi mwaga unga na nakula mboga usiku
Na ka si denga, pia siwezi kosa kisu
Mambleina wanazua, hawawezi kosa issue
Industry ina mapirate, utadhani Mogadishu
 
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni
Na rende ina ride through
Ata mitaa za mbali sio piga scene tupu
Naplan kuwa tycoon
 
Guess ni wodo inapairu kushinda titration
Testing what? My crew
Nilibuy ngware kindukulu 'Shh shh
Ndo nikuwe na high noon
 
Eey si uongo bang bang na utagenya jiji
Si watoto wadogo gang gang ni kusema nini
Mmm ha, naona kama nyinyi mnaplay na mimi
Lakini swali ni moja tu, tutapenya lini
 
So my brodas, enjoy your days
Ju tushajua vile itaisha either in jail or dead
The radio don't play me so I play my way
Anyway my father told me no pain no gain
Ju bado tuko underground na sichoki
Sidhani hii ni music, man ukinicheki na kipochi sisoti sikosi
Azyn mlini mis-judge ju mlinicheki na kitaxin na kichoki
 
Yoh, so if I die
Usisahau kuwambia that I lived my life
Yoh Scar aka Mr Rizz Magwai
Mi hujuanga nawaumiza mbaya eeh
 
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni
Na rende ina ride through
Ata mitaa za mbali sio piga scene tupu
Naplan kuwa tycoon
 
Guess ni wodo inapairu kushinda titration
Testing what? My crew
Nilibuy ngware kindukulu 'Shh shh
Ndo nikuwe na high noon
 
Mara better ni ka dera
Mara juzi niliona hadi Vera
Mara zimenirunda Kibera
Mara zimenirunda kivela
 
Hakuna venye utajifanya hutusikii
Venye si tunaboss, unaonekana we ni mbleina
Kila beat tuko strapped na ki Jesus piece
Tukifinish hatuonekani tena
 
Trap trap bila burden
Trap Nai, Kitusuru na Karen
Peleka wazimu Mathare
Hatubongi ka haulipi hiyo stori ni usare
 
Samahani sana venye maneno
Haiwezi vunja yai
Chungeni mbuzi zenyu
Kitu ya mtu si rule yangu
 
First day alikuja then na boyfriend
Sai anaspend time kwa room ya mine
Amini msiamini ndugu zangu
Thanks God kwa baby steps naona nikihomoka
 
Since baby steps niliona nikihomoka
Hawalali ati walidhani Khali alikuwa amechoka
Nimechizi as if wachape bangi
Madam mi lung-i inaburn
 
Nipe Jesus piece, Babylon army ndo na inabang
Mi ndo bigger beast
Fanya hadi padri dhambi na gun
Hapa hacommit tisha babi walami zombie inakam

Leave a Comment