AAAIH Lyrics
AAAIH Lyrics by WILLY PAUL
Rudi tena unipe ma aaaih
Ulitoka na hukunipa namba
Rudi tena unipe ma aaaih
Ulitoka na hukunipa namba
Hii Big G nilitafuna
Big G imekulwa na doggy
Bila huruma nilitafunaga
Nikamwaga mate kama doggy
Yaani tekenya chekesha (aaih)
Yaani tega na kutegua aaih
Kanipatia nichafue
Nilichosikia tu ni mayowe
[Rekles]
Akinitekenya baby girl nikikam basi legeza
Na hio tah tah napenda ukiichezesha
Wezesha nacheza ki manager
Nikiteleza nazama kibanzenga
Chezesha msambwanda mama (Chezesha mama)
Chezesha msambwanda aah (Rungu imesimama)
Chezesha msambwanda mama (Chezesha mama)
Chezesha msambwanda aah (Rungu imesimama)
Basi tekenya chekesha (aaaih)
Kanitega na kutegua aaih
Yaani tekenya chekesha (aaaih)
Yaani tega na kutegua aaih
Aaaih Aaaih Aaaih Aaaih
Fanya tena, ulivyofanya jana
Aaaih Aaaih Aaaih Aaaih
Baby nipe tena kama jana
Sijui mi nina shida ama niwe umeiva
Ona basi nani hugeuza kichwa ukipita aii
Na hio figa kwa picha
Unasumbuaga raia wakiscroll pale Insta
I guarantee speed ni ya ma3
Ukitaka niongezee kama ya bedi
Kam kam baby kam kam mami
Msambwanda imejaza kanga
Kwani we ni manyanga
Baby nitakupanda kama nganya
Hujui mi makanga
Chezesha msambwanda mama (Chezesha mama)
Chezesha msambwanda aah (Rungu imesimama)
Chezesha msambwanda mama (Chezesha mama)
Chezesha msambwanda aah (Rungu imesimama)
Basi tekenya chekesha yo (aaaih)
Kanitega na kutegua aaih
Yaani tekenya chekesha yoo (aaaih)
Yaani tega na kutegua yo aaih
Aaaih Aaaih Aaaih Aaaih
Fanya tena, ulivyofanya jana
Aaaih Aaaih Aaaih Aaaih
Baby nipe tena kama jana
Kanitekenya chekesha yo (aaaih)
Kanitega na kutegua yo aaih
Kanipatia nichafue
Nilichosikia tu ni mayowe
Chezesha msambwanda mama (Chezesha mama)
Chezesha msambwanda aah (Rungu imesimama)
Chezesha msambwanda mama (Chezesha mama)
Chezesha msambwanda aah (Rungu imesimama)
Kanitekenya chekesha yo (aaaih)
Kanitega na kutegua yo aaih
Yaani tekenya chekesha yoo (aaaih)
Yaani tega na kutegua yo aaih
Aaaih Aaaih Aaaih Aaaih
Fanya tena, ulivyofanya jana
Aaaih Aaaih Aaaih Aaaih
Baby nipe tena kama jana
Chezesha mama
Rungu imesimama
Chezesha mama
Rungu imesimama
Watch Video
About AAAIH
More WILLY PAUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl