OSH Lyrics
OSH Lyrics by ZZERO SUFURI
Yeah yeah..sssh
Mamoshi mamoshi mamoshi
Osh! Ah wanna yah know shasha mane
Mi about drop it me - osh
If you see me I dem re-do
Nuh say da original mi ah use
First time me do addi money
Link up okay popping some osh
Di girl haffi scream ama gosh
When seh mi take up mi gbag ah kush
Nothing nothing nothing
Can't compare to the thing em osh
Stress dissapear like ghost
Feelings are nice like me addi boss
Stress dissapear like
Me me me me boss
Kimoja kisafi na kimewaka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Piga order shashamane kama unataka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Kimoja kisafi na kimewaka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Piga order shashamane kama unataka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Smoke till I die napenda kumedi sana
Hakuna siku mi hukosa kunyanya
Niko nakio na kimoja kwanza
Hesabu ya warasta, kimoja sai kingine after
Sa sai kitu nafanya nikuwachanganya
Wakidhani wako rada mmmh sisi sio mafala
Watoto nagwara ndula Sahara
Hapana parara mjini tawala
Wakilala wako rada cheki jo
Wakilala wako rada
Ndani ya booth eh Cashy jo eh cheki
Kimoja kisafi na kimewaka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Piga order shashamane kama unataka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Kimoja kisafi na kimewaka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Piga order shashamane kama unataka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Mamoshi zimejaa kwa masoshi
Zikiripoti wanakuwanga social
Mamoshi ziko on motion zimechange ma emotions
Passive smoker hawezi kuwa smoker joker
Ameanza kucheka cheka utadhani ni smart joker
What's popping tunaroga kuhusu smoke
Usifananishe na Smoke Pop
Heshima idumu wasikumock
Ma highgrade shuksha ugali pork
Na maziwa ka huna maziwa
Long stori zitalipuka
Capello, Capello
Kimoja kisafi na kimewaka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Piga order shashamane kama unataka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Kimoja kisafi na kimewaka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Piga order shashamane kama unataka
Mamoshi mamoshi mamoshi mamoshi kwani
Watch Video
About OSH
More ZZERO SUFURI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl