Side Ile Lyrics
Side Ile Lyrics by ZZERO SUFURI
Yah yeah, yeah yeah yeah yeah
Joh ni Zzero (Drisa)
Huskii eti niko na siri na nafaa niwatobolee
Labda nikiwa maji na niko thirsty wamothee
Mi hukuwa shortwired blunder mnafaa mnichoree
Vijana wadogo mnabishana na mzee
Nimekakawia miaka naeza wagawia
Ganji si ndo topic inafaa tuiongelee
So mi ndio niendelee kimbichwa kwa head
Kiblood jo kilight alafu ndio kiende chain
Side ile, side ile, side ile, side ile
Side ile, side ile, side ile
Shuka nao, shuka nao, shuka nao, shuka nao
Shuka nao, shuka nao, shuka nao
Side ile, side ile, side ile, side ile
Side ile, side ile, side ile
Shuka nao, shuka nao, shuka nao, shuka nao
Shuka nao, shuka nao, shuka nao
Kimoja kisafi lazima nikiwashe
Shshh kama kawa
Kimoja kisafi lazima nikiwashe
Shshh kiende chain chain
Wanaulizia tonje si mi ndo bronje
Niko na mbulu na magwagwa mbramba tatu
Ama nikushike twedi fae, hio haifai
Kejani Wifi nakuwekea sai sai
Niko na 3G, 4G na bado 5
Shughuli ni ya teke na niko rada ju ya time
Niko na mstiri anacome, hako katenje nishaconfirm
Opposite wise mi huwashika bado cham
Mi huchunia OCS tukurutu tunajam
So ka, kabla na kabla utanipata niko na tambla
Na kabla sijakula jaba utanipata nimekula nyama
Kimoja kibiggy bana na kinakuaga kia wababa
Eh hakuna mikutano ka chama, nakesha muhadharani
Ukipenda weka lawama
Side ile, side ile, side ile, side ile
Side ile, side ile, side ile
Shuka nao, shuka nao, shuka nao, shuka nao
Shuka nao, shuka nao, shuka nao
Side ile, side ile, side ile, side ile
Side ile, side ile, side ile
Shuka nao, shuka nao, shuka nao, shuka nao
Shuka nao, shuka nao, shuka nao
Watch Video
About Side Ile
More ZZERO SUFURI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl