Nyongi Lyrics by WAKUU MUSIC


Huh huh, Cosmic beats
Namba nane, ni Wakuu huh 
Kwa mara ingine haha
(Cosmic beats)

Ati "Sssh Ssh" inanichoma lakini situpi
Ati "Sssh Ssh" inanichoma lakini sikupi
Ati "Sssh Ssh" mi huichoma nikiwa juu ya nduthi adi
"Sssh Ssh" tukiji "Sssh Ssh" na mamorio wa mi

Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

Uko na ngwai nataka kitu naseti
Mi si ka Mwai nasaka Uhunye tuseti
Mi sikatai nataka kukuna seti
Usiniseti wewe wacha nisake pedi

Nakuja floss nataka rasa si feki
Sitaki poko leta pyenga nikaseti
Jeshi imebonda kwa choche makesi
Jeshi washakula kuku wamebleki

Messi anachenga kwa choche hata habebi
Thegi amesanya kapyenga ka medi
Huwezi mbona unakula nyongi za fegi
Shika kangwai ukapitishe ikiwa nyongi

Ati "Sssh Ssh" inanichoma lakini situpi
Ati "Sssh Ssh" inanichoma lakini sikupi
Ati "Sssh Ssh" mi huichoma nikiwa juu ya nduthi adi
"Sssh Ssh" tukiji "Sssh Ssh" na mamorio wa mi

Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

[Zzero]
Hello TT wanandapanyo titi
Si mi huskianga fiti nikikuguza huto tu titi
Nice and dem pretty, lion not chichi
Huh na label man nimedunga suti

Girl you nice na kiswahili si uko fiti
Nikuite Mary Jane ju vile umenicarry
Apetite part ya kufinya ugali
Si ukae nami basi uone tukienda mbali

Zzero utanikuta na magaldem
Na bado utanikuta juu ya kibomb dem
Na ka biz ni ya umonkey sinyongi
World boss in the building ni kubaya

Ati "Sssh Ssh" inanichoma lakini situpi
Ati "Sssh Ssh" inanichoma lakini sikupi
Ati "Sssh Ssh" mi huichoma nikiwa juu ya nduthi adi
"Sssh Ssh" tukiji "Sssh Ssh" na mamorio wa mi

Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

Why morning after nimekula ki cancer
Zimenishika mpaka naskia nimegeuka ki dancer
Niende baze nipate shaba wametulia ki bouncer
Uje unipe moja kubwa alafu niseti na rasta

Nipate nimejiseti niko "ssh ssh"
Kipyenga kidogo lakini ni ki "Ssh ssh"
Hio ndo hutumaga ulale Kamiti
Ju unaskia ukidim bado unaski uki "Sssh"

Alafu naskia kama ni trickster
Ukinisqueeze unabaki kunimeet
Nabonga ni kama ni greek na 
Ukinichew utabaki ukinispit

Napata madenge ka Vitz 
Ju ya vile nakuwanga biashara inakuaga ni cheap 
Na kwenye marapper ka mi 
Na wakiniita battle kwangu itakuwa ni feast

Ati "Sssh Ssh" inanichoma lakini situpi
Ati "Sssh Ssh" inanichoma lakini sikupi
Ati "Sssh Ssh" mi huichoma nikiwa juu ya nduthi adi
"Sssh Ssh" tukiji "Sssh Ssh" na mamorio wa mi

Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Sijai kula kitu tamu ka nyongi
Na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

Watch Video

About Nyongi

Album : Nyongi (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 08 , 2020

More WAKUU MUSIC Lyrics

WAKUU MUSIC
WAKUU MUSIC
WAKUU MUSIC
WAKUU MUSIC

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl