Wababaz Lyrics by WAKUU MUSIC


Oh Lord have mercy on me 
Kwa kumaliza hao marapper hukuwaga ni fake
I be maintaining my peace
Spending cash on things na sinanga regrets

Walishanivisha crown ikatosha kwa kichwa
Sibishani na fate
Nitazidi kuwa simba ni ngumu kushinda
Ju mi hutawala na faith

Ju hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hapa vitisho hazifanyagi kazi

Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hapa vitisho hazifanyagi kazi

Hii ni ligi ya wababaz, watoi wakafungwe pampers
Naifanyaga na purpose sijai tupa focus
Ju ya kusoma compass nawachekelea wakicheza chekechea
Si tuko campus hapa unadeal na masters
Lyrical genius tukipanga ma stanzas
Mi ni star ndio unifikie itakubaki umekaza
Bado utanipata baze na mamorio tumejibanza like dat

Cheki nafanya adance, anawish apate chance 
Akufax na we hautag
Anasema ati anapenda vile vako yetu huwa ni lifestyle si kubrag
Ju mi hurun kila choche hii ma eneo
Ni kama nadai vunja rekodi ya Kipchoge huko Eneos
Ka unadai beef si ndo wenye kichinjio
Mbogi imebonda kinya utadhani --

Ju hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hapa vitisho hazifanyagi kazi

Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hapa vitisho hazifanyagi kazi

Ati literally niko mentally ill
Nina majini hunituma kufanya vitu sitaki ku think
Eish ju naturally am lyrically ill
Am still a boss huko kwa seasaw uliza kwani ni real
Niko na familia so ka ukijua pia mi nina bills
So ukicheza na pesa yangu unachokoza my chills
Give them lessons how to do this
Got foot on my pedal, nawapa vitu najuanga hawawezangi ku handle
Jua mi ni fan hapa huwezani ka unataka kurambwa
Lazima kuwashona hizi maganji hapa hakunaga kugamble
Ka mi naposition tuliconquer
Step on your willy wonker
Natawalanga mraia wakati huwa wanabonga
Clean iende ka ni roundi, itabidi mweke bounty
Nabonga nasonga nawaacha wakibaki shouting
Nimerudi kuchukua kitu kwa watu walikuwaga doubting
So if you're talking am liking and taking all the bosses

Ju hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hapa vitisho hazifanyagi kazi

Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hapa vitisho hazifanyagi kazi

Hii ni ligi ya wababaz, wakidi ni nini wanataka?
Hii inafanyaga bro unarudi kwa matha
Sikuji undercover hii si Gully ama Gaza
Greedy motherfucker zigi bila shada mmh

Hii ni bidii bila saga for real
I got real chargies wanaeza kushanda for me
I told Mike you don't need to worry
I kill biz for living what do you think they know me for G

We strive to be the wisest
Tunaifanya once no tricex
Nairobi ni akili ikibidi ongeza biceps
Fckn serikali operation komesha nonsense
Rong Rende ka huipendi jitombe
Usifanye nimake call moja tu kwa tonje
Majenge huniitanga kando tubonge
But mi huwaambia wangojee

Ju hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hapa vitisho hazifanyagi kazi

Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hapa vitisho hazifanyagi kazi

Hii ni ligi ya mabars vile tunatoka na maisaa
Vile nachachisha huwezi kalisha unagwai isaa
Vile naharakisha mi huwa napita na raia
Furahia vile nakula marapper bandia

Mi hukalia, wale wana vishasha watalia
Mi hukwambia wale wanajichocha natwaria
Nafagia vile nakaza misuli na gear
Nawachia vumbi kwa njia vidole kalia

Mi hukatsia vile nazoza utadhani bia
Vile nakaa fear bado ni kidi unapewa pia
Kwangu ni fan marapper wako chini wanalearn
Kwangu ni clan nataka peace sitaki masnitch
Kenye naplan lazima niwamade kiplan
Venye nagas mi ndo pas ama ni nani

Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz

Oh Lord have mercy on me 
Kwa kumaliza hao marapper hukuwaga ni fake
I be maintaining my peace
Spending cash on things na sinanga regrets

Walishanivisha crown ikatosha kwa kichwa
Sibishani na fate
Nitazidi kuwa simba ni ngumu kushinda
Ju mi hutawala na faith

Ju hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hapa vitisho hazifanyagi kazi

Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hii ni ligi ya wababaz
Hapa vitisho hazifanyagi kazi

Watch Video

About Wababaz

Album : Wababaz (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 06 , 2021

More WAKUU MUSIC Lyrics

WAKUU MUSIC
WAKUU MUSIC
WAKUU MUSIC
WAKUU MUSIC

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl