WAKADINALI Geri Inengi cover image

Geri Inengi Lyrics

Geri Inengi Lyrics by WAKADINALI


(Afvrika!)
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki eti Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki eti Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Alikam na kinini? kiturr...du!
Kam na kinini? Kibugdu..kuboom!
Kam na kinini? Ki Shss! Sssh!
Ki Hmm Hmm! Ki Haa! Haa!

Alikam na kinini? kiturr...du!
Kam na kinini? Kibugdu..kuboom!
Kam na kinini? Ki Shss! Sssh!
Ki Hmm Hmm! Ki Haa! Haa!

Kibugdu-gdu my guy hii si toy
Ziwa Hurush na mi najienjoy
Tuliwabumbrush H Kiamaiko
Buruklyn na mi si boyz

Sina jongo sina form sina cheda
Bila mbesha still machaji walichuna
Ngeus una matress kwako sema form
Munga mjinga niko zone

Past curfew magiza niko biz
Smaddy Tingz alikujia magiz giz
I'm sorry ilidim, am sorry nimediiiim
I'm sorry ilidim, am sorry imedim
Am sorry ah ah aiii

Subaru inakam na mambaru wamekrome
Zaidi ya mzinga na zile vitu wrong
Munga, Sirbwoy hepa chuom na imepong
Digitali jaba kali shikisha na dosh

Maisha posh na maombre wa pale ni ka nankosh
Taxin na magego za ogoro 
Zinawaka shinda torch za magwoch
Idhaa ni mbaya lola mbota, lola watch

Yeah yeah
Kwa hii darasa mi ndio teacher mi ndio coach
Zimewaka zimeliet zimemwoch
Mbara ya gatheshe, hatuna kasheshe
Maybe tukuthiokore na tukufanyage patient
Boom boom, yeah yeah yeah yeah, Boom!

Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki eti Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki eti Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Alikam na kinini? kiturr...du!
Kam na kinini? Kibugdu..kuboom!
Kam na kinini? Ki Shss! Sssh!
Ki Hmm Hmm! Ki Haa! Haa!

Alikam na kinini? kiturr...du!
Kam na kinini? Kibugdu..kuboom!
Kam na kinini? Ki Shss! Sssh!
Ki Hmm Hmm! Ki Haa! Haa!

Mzee hushika za kiwhiteboy
Akiwa maduya riomo na cock toy
Hicho kidiura isikufanye uingie kwa soil
Bro na kidurag hudungwa na rock boy

Boy hatuitishi ruhusa kuguza
Tunaishi nchi rahisi hutundura
Na ukisnitch juu ya clique unasundwa
Shock delete unakam kuchunguza, umbwa!

Cock de ting ka umekam kutunyuria
Finger imekwama kwa trigger unabuya
Usikam ukiwa steam ka hutaki kupanguzwa
Ni genje njege walikam kuwatuma

Uh alikam na kidududum-dum 
Kama huamini unaeza Google-dum
Saa hizo jaba ni maini na kindukulu
Walifanya zote zishuke chini pungulu-pu!

Ati Scarde amechange? Haha, ati Scarde amechange..
Kwani unaexpect nini Fathe akikubless
Ni ma pupu... ubitch nigga muanze kuvaa vest
Cheki Dosh Dosh 
Hakuna haraka manze tuwapeleke mos mos
Chunga usipate baraka waseme ni wash wash
Ilifanya utoe kila kitu kwa mbosho
Ki sssh ssh, kinawaka popote umoroto
Ma twaa twaa msupa wako akipewa kiboko

Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki eti Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki eti Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Alikam na kinini? kiturr...du!
Kam na kinini? Kibugdu..kuboom!
Kam na kinini? Ki Shss! Sssh!
Ki Hmm Hmm! Ki Haa! Haa!

Alikam na kinini? kiturr...du!
Kam na kinini? Kibugdu..kuboom!
Kam na kinini? Ki Shss! Sssh!
Ki Hmm Hmm! Ki Haa! Haa!
Na imejaa!

Watch Video

About Geri Inengi

Album : Geri Inengi (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Zoza Nation
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 23 , 2021

More lyrics from Exposed (Munga's Revenge) album

More WAKADINALI Lyrics

WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl