Vumilia Lyrics by TRIO MIO


Na na...eeh
Na na na na na...eeh
Na na na naaaaa...
Na na na naaaaa...

Vumilia...roho yangu...
Majaribu, ni kama moto...
Inayochoma...imani yangu..
Baba naomba...nsaidie...

Trio leo mbele zako
Mtaani brikicho na landlord
Leo ametutingia padlock
Rent ya kama mwezi tano
Tangu ancheki kwa Mpasho na-
aniskie kwa radio Jambo..
hacheki vile tuna struggle
"We uliomokanga kitambo"
Ninahustle, hapa jasho, kila mtu nimwone za macho
Utadhani nilishinda jackpot, wasanii ni ka kuku za Sanford
Utazungushwa pale display ndio wanununuzi wakukiche
Wakikupenda, mafutani, uwekwe chumvi wakuminye

Ulinipea kipaji
Niepushe na watiaji
Nisikanganywe na ganji
Kukapitia ni humbling
Mi naifanya for the family
Nieke kitu mezani
God we chukua usukani ju..
Bila we mi siwezani..

Vumilia...roho yangu...
Majaribu, ni kama moto...
Inayochoma...imani yangu..
Baba naomba...nsaidie...

Nabalance talanta na mbuku, inakuanga ngori nang'ang'ana
Nabambanya mkwanja ya supu, kasembe angalau tusilale njaa
Mi mbele nacheki dalili za taa
Milele nakuanga naamini Sir Jah
Ni Ye amenifikisha huku, ni Trio kwa mbulu wanatazama
Maisha uwanga up and down kama moodswings ama seesaw
Naja full swing kila seaseon
N'ko kwa pulpit nina seek God
Nina seek strength ya ku sing song zitafanya mthama asare kusakanya
Nimshikie kikeja na nganya
Hadi hapa ni sala za mkanya

Ulinipea kipaji
Niepushe na watiaji
Nisikanganywe na ganji
Kukapitia ni humbling
Mi naifanya for the family
Nieke kitu mezani
God we chukua usukani ju..
Bila we mi siwezani..

Vumilia...roho yangu...
Majaribu, ni kama moto...
Inayochoma...imani yangu..
Baba naomba...nsaidie...

Vumilia...roho yangu...
Majaribu, ni kama moto...

Watch Video

About Vumilia

Album : Vumilia (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 30 , 2021

More TRIO MIO Lyrics

TRIO MIO
TRIO MIO
TRIO MIO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl