Hapa Kazi Tu Lyrics
Hapa Kazi Tu Lyrics by TRIO MIO
Uh
Ndoto za daydreamer
Mi hustay grounded kwa earth msee wa stima
I’m dumfounded na fact magatekeeper
Walijaribu kuzuia huu mans ku get this far
Enemies of progress
Remedy ni kutalk less
Boka naskuma readless nastrust the process
Focus na future inshallah ntafuck na corporates
Nkwanja ikinuka wascana hujileta topless
Dua kwa muumba hadi kness znaniiuma
Mi najituma bro hauneed kunskuma
Drama huko nyuma nd’o mnaneed kuvuma
Wasanii vipindi kama nick mutuma
Wana hata haya mi hubaki nawashangaa
Naambiwa ntafika far najua, nshajiandaa cheki
Vile inafaa tambua nani ni star
Nakuja nacome na ubaya nikicome jua
Nacome through correct
Vile inastaili
Si unaconnect mi huwakunywa na kiswahili
Si nd’o tuko next ndo maana mko in your feelings
Inawaaffect kucheki nashika shilling
Hapa kazi tu
Hapa kazi tu
Hapa kazi tu
Mwanaume ni kujituma
Hapa kazi tu
Hapa kazi mishoni na warazi du
Watu miradi michezo nliacha standard two
Unabonga ganji liwelo niko ndani i’m cool
Usororaji ni repo we shetani mkuu
Extreme measures
Nd’o nachukua ka’ kupima msee ana kifua najua mtanitambua very soon
And if ever
Utawai mature na kua nigga wa kisure na lucha ukifafanua utajua
Nabring terror
Vile nashtua marapper wanaungua nazua nawakamua kamua
Nakill veterans
Kama manure te sit naneed clenser
Nyi mnahitaji mablesser
Dua kwa muumba hadi kness znaniiuma
Mi najituma bro hauneed kunskuma
Drama huko nyuma nd’o mnaneed kuvuma
Wasani vipindi kama nick mutuma
Wana hata haya mi hubaki nawashangaa
Naambiwa ntafika far najua, nshajiandaa cheki
Vile inafaa tambua nani ni star
Nakuja nacome na ubaya nikicome jua
Nacome through correct
Vile inastaili
Si unaconnect mi huwakunywa na kiswahili
Si nd’o tuko next ndo maana mko in your feelings
Inawaaffect kucheki nashika shilling
Hapa kazi tu
Hapa kazi tu
Hapa kazi tu
Mwanaume ni kujituma
Hapa kazi tu
Watch Video
About Hapa Kazi Tu
More TRIO MIO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl