TRIO MIO Lemon Pepper Freestyle  cover image

Lemon Pepper Freestyle Lyrics

Lemon Pepper Freestyle Lyrics by TRIO MIO


Happy new year
Trio moi

2022
Hii ni mwaka yangu niko na many things to prove
Nimeskia wanasema last year iliwanga fluke
Ni ka si mimi ndio reason marapper wengi wamewekwa mute
As in, tuambiane ukweli hapa
Cheki vile namove
Everything na do in calculated kutoka juu
I was aiming for the moom
Nika land kwa galaxy ma star huunita goon
Sa’abu half ni ma-cartoon
Hamuwezi match huu bazuu
Trio ndio the future
Na mi na-feel that presently wengi naeza butcher
Industry ma-enemy mi wengi wana try kunishusha
Wanazusha kijana asome mi niko mesti nawafunza
Lol, el professor
Jiji hukumbatiwi ka uko handsome and broke
Na msosi hupakuliwangi kabla hauja perform
Mi tangu niseme form kwa ngoma nili transform
Mnatarajia nibaki same yaani
Like sija struggle kutambulika kwa game … funny
Ukiomoka wacheki umeacha kusota same people walikuchocha
Watakuchukia sa’abu ya fame and money
Ma blogger na ma comparison
Zingine honorable, zingine jo ni laughable
Ka we ni casual listener wa muziki na hushiki mbona niko hapa
Hakuna kitu tunaeza banja bro, for real
Nimetry ku-do hii kitu for long sijui ka unani-feel
O brooo

Na feel brand new
Na check vitu ziko kwa bucket list
First time juu, nimepanda ndege msee niko panicking
Na stretch nguu, hakuna room jo what the fuck is this
New time crew, mnanieke business class mi sitaki tricks
Na ni roho safi
Promoter hiyo balance ni doh ngapi
Ukiona nimesimama na-flow rasmi
Ujue nimemaliziwa mkwanja hiko maganji
Breakthrough artist of the year, mkurugenzi
Make room, mzazi anaingia hawaniwezi
Ni age tu, ndio inakusaidia skia wasnenzi
Na make do, mi kufanikiwa ni juu ya mapenzi
Na nitai remember, I’m certain
Mafans wanani feel nikitema ma verses
Asiye kubali skili ni pretender muniwache
Anatumia kichwa ka dispenser ya mate
Niko kwa lab, kemikali
Natengeza concoction ya the rap generali
Ako na artistry ya nyash na delivery ya khali
Pedigree ya bars kutoka scar mkadinali
Wisdom ya kaka, wordplay ya octo
Finishing mwafaka storytelling ya okwonko
Hii mwka na monopolize suko
Mjue ni trio mio ndo ri-terirorize watoto yeah

Big up king pheezie
Mkurugenzi wa jiji
The album

Watch Video

About Lemon Pepper Freestyle

Album : Lemon Pepper Freestyle (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Jan 14 , 2022

More TRIO MIO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl