N'mekapitia Lyrics
N'mekapitia Lyrics by TRIO MIO
Ahaa, Trio Mio
(Mavo on the Beat)
Nmekapitia, nmekaaa mgumu sina
And mama told me
One day am gon be a superstar
Ni champagne we poppin mabombe kwa carpet
Mabouncer na walkie talkie, ni Trio hamna copy
Ni champagne we poppin mabombe kwa carpet
Mabouncer na walkie talkie, ni Trio manze
Kama kama kawa niko shughli
Naambiwa siku njema huonekana asubuhi
Kusema watasema majority hawanijui
Na si ati najali sitambui
Najali napanja, mkwanja watanikanja
Kukanga najikanga banger after banger
Lazima wakisonga niko bumper to bumper
Chuma mi hukagonga kakiwaka kuwaka
Energy imeeazy, vibe iko simple
Enemy sipimi bad belle people
Jealousy kwa wingi eyes of the evil
Shawty ako na mimi na hivyo ndivyo iko
Kana uko na Gbag na hawa nguna madenge
Ka unajing'ura na mabuda tugembe
Kama tujinyc kama doba ni kwa tenje
Kwani tukivybe na mabana walenje
Na manguna madenge
Na mabuda na tugwembe
Kama doba ni kwa tenje
Na mabang'a walenje
Nmekapitia, nmekaaa mgumu sina
And mama told me
One day am gon be a superstar
Ni champagne we poppin mabombe kwa carpet
Mabouncer na walkie talkie, ni Trio hamna copy
Ni champagne we poppin mabombe kwa carpet
Mabouncer na walkie talkie, ni Trio manze
Ka naielewa tunalala njaa
Madem nasakanyanga das kama nawangaa
Natapakaa kwa sinia kwenye masacre
Ni masanaa watu wangu heri hakaka
Tuketi sai pass a plastic
Nimechange purpose number one puppet
Mr Vanpassie hata wakisema Trio Gengetone artist
Medem wanatembeaga bila --
Nawapiga maminyongolo
Wabonge wapatiwe mamikongojo
Huwezi kosana na Judas hii ni imani ya Musa
But akili na ofisi ni ya Solomon yeah
Afande uko na mimi na si korogo yeah
Kwenyu ni makiki na maporojo yeah
Mi ndo mwenyekiti na kikolombo
Nimedunga hadi kola na matiki za yolobo yeah
Kana uko na Gbag na hawa nguna madenge
Ka unajing'ura na mabuda tugembe
Kama tujinyc kama doba ni kwa tenje
Kwani tukivybe na mabana walenje
Na manguna madenge
Na mabuda na tugwembe
Kama doba ni kwa tenje
Na mabang'a walenje
Nmekapitia, nmekaaa mgumu sina
And mama told me
One day am gon be a superstar
Ni champagne we poppin mabombe kwa carpet
Mabouncer na walkie talkie, ni Trio hamna copy
Ni champagne we poppin mabombe kwa carpet
Mabouncer na walkie talkie, ni Trio manze
(Mavo on the Beat)
Watch Video
About N'mekapitia
More TRIO MIO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl