Bila Jasho Lyrics by TIMELESS NOEL


Bila jasho
Bila ja
Bila jasho

Dj crab adaba, alafu cheza doba
Iki bamba sana, una pull up mara saba 
Inashika kushinda jaba
Bila jasho najibamba niko sober
Arababababa alafu leta rubber
Bad vibes to na rub it bila rubber
Wakiskia hii song wajue ni baba
Wakipiga tiktok wajue ni
Itakuwaje mavinjana
Hapa tunakunywa maji sio chang aa
Hakuna kung’ang’ana
Hizi tunatoka hapa bila ja, shooo

Bila jasho 
Bila ja… sho
Hizi tunatoka hapa bila ja… sho
Bila jasho 
Bila ja… sho

Hizi tunatoka hapa bila ja
Kuna msee anakutesa bila hatia
Mpaka unalia, unalia unalia
Usiwe na pressure Yesu ako here
Atabeba mzigo yako hope unasikia
Ukiweka nguvu mingi kuna vile uko solo
Zitoke tuu mbogo usichafue polo
Kama huja rada tukidance utufollow
Tunazitoka free hapa hatutoi jasho
So hii dance weh ndio kusema
Weh nikama guest
Najua nibila jasho unahitaji ku rest
So mkono moja unaweza weka kwa ukuta
Ama kwa shoulder ya beshte yako hapo next

Bila jasho 
Bila ja… sho
Bila jasho 
Hizi tunatoka hapa bila ja… sho
Bila jasho 
Bila ja… sho
Bila jasho 
Hizi tunatoka hapa bila ja… sho
Ni bila jasho, rent ataleta bila ja… sho
School fees usi worry itacome bila ja…
Wanafunzi mtapita teo bila ja… sho

Lakini soma
So hi dance weh ndio kusema
Weh nikama guest
Najua nibila jasho unahitaji kurest
So mkono moja unaeza weka kwa ukuta
Ama kwa, shoulder ya beshte yako hapo next

Bila jasho 
Bila ja… sho
Bila jasho 
Hizi tunatoka hapa bila ja… sho
Bila jasho 
Bila ja… sho
Bila jasho 
Hizi tunatoka hapa bila ja… sho

Matthew 11 : 28
Christ anasema maze
Nyi wasee mkona mizigo mzito
Kujeni awapumzishe bila ja …sho

Watch Video

About Bila Jasho

Album : Bila Jasho (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Aug 20 , 2021

More TIMELESS NOEL Lyrics

TIMELESS NOEL
TIMELESS NOEL
TIMELESS NOEL
TIMELESS NOEL

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl