GWAASH Girl Child cover image

Girl Child Lyrics

Girl Child Lyrics by GWAASH


Ladies and gentlemen lemme introduce 
Fatboy Gwaash

Hii si ngoma ya utiaji
Hii ni ngoma utahitaji
Ngoma ya uhai kwa wahenga wa saa hii
Na ka itakuuma, itabidi umekubali
Please usinikashif 
Kwa sababu later itakuwa mahitaji

Nikilook back nakumbuka wahenga na wahenguzi
Walisema mke si nguo lakini nguo ni mke
To be more specific kwa wenye wanajua kilami
Namaanisha clothes enhances women beauty
But it's not of itself so important than a woman

Nikicheki life tunaishi naona madem wanabebwa ufala sana
Sisemi ati wako perfect but sioni essence ya ku-raise hand
Kupiga dem yet yeye ndo amekubeba miezi tisa
Na bado in future atakubebea mtoi miezi tisa

Najua kuna watu hii message haitawabamba
Nyi ni victims ama mnaona nimekuwa mbleina
But angalia vile we hufeel mzazi wako akipashwa
Ama akipigwa na mzae pale home ju ya ma-issues zao

Acha ni-shift script
Kuna wale mavijana wanacheza madem
Kuna haja gani usuke dem umshabe
Then kesho humdai

Let's stop playing with women feelings
Na akipata ball yako unamruka
Yet we ndo striker bao zote ulifunga
Post wazi bila neti, ni ka mwizi na kibeti
Tushajiseti, vijana employer ni mhindi ule wa betting
And still is stressing, please Jah give us blessings

Okey, enough ju ya deadbeat mums
This one goes to you slaying mums
Yaani wale wa Kilimani Mums
Wakoro wanadhani Zari ndio goals
Ati four baby dadies and still single 
Are you serious?

Kumaanisha we humangwa raw, kwani hauna roho?
Ndio maana percentage ya virusi
Iko forward ever backward never
Si hii ndio school motto 
Ama ni motto, mnafunza nini watoto?
Na vichwa zenyu moto

(It's nigga Netro!)

Watch Video

About Girl Child

Album : Girl Child (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 24 , 2020

More GWAASH Lyrics

GWAASH
GWAASH
GWAASH

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl