Zamani Lyrics by REKLES


Buda uko hapa na dem yako amelaliwa
Kama hayuko kwako anakula miwa
Jamaa jo alizama zamani, zama zamani
Zama hadi akamwagiwa

Usishike moto hauna maziwa
Ako na kasponyo hujaambiwa
Sponyo jo alizama zamani, zama zamani
Zama hadi akamwagiwa

Ye hukuchocha ah
Ati akitokanga anaenda mboka mmh
Ako na kabuda kamenona
Wako baze wanapewa beer na choma

Na ju ye hutaka kwenda coast
Utampelekaje buda na hauna doh
Shuku sana akikushow analala home
We huamini buda yake ndo anampea maloan (Ah zii)

Mbona unachochwa ni ka msee hajasoma
Najua unampenda mbaya lakini we si fala
Ye ni mteja alisema hananga charger
Niko sure ako na jamaa kwa kitanda

Buda uko hapa na dem yako amelaliwa
Kama hayuko kwako anakula miwa
Jamaa jo alizama zamani, zama zamani
Zama hadi akamwagiwa

Usishike moto hauna maziwa
Ako na kasponyo hujaambiwa
Sponyo jo alizama zamani, zama zamani
Zama hadi akamwagiwa

Yeah si hapa Nai jo kuna maneno
Hawa mabuda sijui ni motepo
Ikus zina price tag hadi Majengo
Bargai bargain alafu uwache depo

Hii kitu ilianza time ya colonization
Hadi sai time ya coronization
Ni so sad Njeri alitekwa na Pension
Na akafinywa na gakagu bila tension

Zamani zama za kirandi
Eeh kira
Zamani zama akiwa ndethe

Buda uko hapa na dem yako amelaliwa
Kama hayuko kwako anakula miwa
Jamaa jo alizama zamani, zama zamani
Zama hadi akamwagiwa

Usishike moto hauna maziwa
Ako na kasponyo hujaambiwa
Sponyo jo alizama zamani, zama zamani
Zama hadi akamwagiwa

If I had a dollar for a woman 
Am in love with I will be rich
Eh I will be rich

Akiwa bi-polar na kuna solar
Na sijakula basi nam-ditch
Eh aki namditch

Zama hadi akamwagiwa
Venye nika- mmh mmh eh eh eh
Zama hadi akamwagiwa
Venye ni kafupi anakanyagiwa
Keja ni tajiri anatarajiwa
Koro ikiwa nyongi utabakishiwa

Eh! Right man wa Akuku Danger
Nawapanga ka 3 CD changer
Ndio nicheze iron man kwa avengers
Zalisha wajunior hadi tujaze census

Hawa wasichana wa Nairobi
Hawa wasichana wa Nairobi
Ngori brathe wewe
Ngori jo utachinjwa brathe...

Watch Video

About Zamani

Album : Zamani (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 06 , 2021

More REKLES Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl