RAYVANNY Zezeta cover image

Zezeta Lyrics

Zezeta Lyrics by RAYVANNY

Baby mooh nifanye big g unitafune
Ama niwe sindano nawe uwe uzi nguo nifume
Ama niwe ndoo uwe maji yangu unawanume
Nifanye kucha kama ukiwasha mi nikukune sema mama
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu
Chumbani uwe simu unalia hata nikiku beep
Nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu
Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila siku
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu

Shika ufunguo gari ya bosi wangu kwako zezeta zezeta
Niko ladhi nifunge ule wewe mimi zezeta zezeta
Au unataka hati nyumba ya baba yangu kwako zezeta zezeta
Kifaranga nibebe kama mwehu mimi zezeta zezeta
Mama sitaki paka na panya vita za nyingi
Mi nataka niwe mafuta ujipakaze kote mwilini eeh
Ama niwe taulo kanga laini ukioga ninakufuta
Kutoka juu mpaka kwa chini mashallah
Ulivyo mwenzako taabani naishi muchumba siendi varandani
Tena sikufanyi vocha soko dukani
Nikutumie muchumba nikutupe jaralani sema mama
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu
Chumbani uwe simu unalia hata nikikubeep
Nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu
Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila siku
Shika ufunguo gari ya bosi wangu kwako zezeta zezeta
Niko ladhi nifunge ule wewe mimi zezeta zezeta
Au unataka hati nyumba ya baba yangu kwako zezeta zezeta
Kifaranga nibebe kama mwehu mimi zezeta zezeta
Mashilawadu wana nyapia nyapia
Mashilawadu wana nyatia nyatia
Mashilawadu wapate kutangazia
Mashilawadu kuwa makini mama
Mashilawadu kwa kudandia dandia
Mashilawadu vya watu kupagazia
Mashilawadu macho funika pazia
Mashilawadu kuwa makini mama eeh eeh

Watch Video

About Zezeta

Album : Zezeta (Single)
Release Year : 2017
Copyright : ©2017
Added By : Trendy Sushi
Published : Feb 28 , 2020

More RAYVANNY Lyrics

RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY

Comments ( 0 )

No Comment yet

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl