My Babe Lyrics
My Babe Lyrics by RAYVANNY
Aii jamani
Mbona umenika kichwani
Umenipa kitu gani, baby wangu
Hadi natamani, nikufiche chumbani
Wasikuone visirani, baby wangu
Nililia kwa mwenyezi, akayaona machozi
Kanipa wewe kipenzi, kipenzi
Mtaimba na tenzi, nikutulize laazizi
Maana kwako am dead, oh am dead
Amenishika, kanikamata
Mwambieni shemeji yenu apunguze raha
Huba shata shata nanenepa
Mwambieni shemeji yenu apunguze raha
My sweet sweet babe, you’re my babe
Sweet sweet babe, you’re my babe
My sweet sweet babe, you’re my babe
Roho yangu babe, you’re my babe
Ulikua rafiki, ukawa mpenzi
Sasa ni rafiki tunaefanya mapenzi
Kwako niko real sio kama na pretend no
Yani toka tuna dhiki sasa tuna chenji
Nina kupongeza umevumilia menji
Chukihazijengi, kugonbana siwezi no
Babe you teach me how to love
You teach me how to care
And forever I’ll be there for you uuh
Mtoto unawaka waka
Mtoto umetakata kata, mrembo
Nililia kwa mwenyezi, akayaona machozi
Kanipa wewe kipenzi kipenzi
Ntaimba na tenzi, nikutulize laazizi
Maana kwako am dead, oh am dead
Amenishika, kanikamata
Mwambieni shemeji yenu apunguze raha
Huba shata shata nanenepa
Mwambieni shemeji yenu apunguze raha
My sweet sweet babe, you’re my babe
Sweet sweet babe, you’re my babe
My sweet sweet babe, you’re my babe
Roho yangu babe, you’re my babe
Watch Video
About My Babe
More RAYVANNY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl