Sitachelewa Lyrics
Sitachelewa Lyrics by PRYSHON
I wrote these words for you my baby
Sijakuandikia for sometime-ime
But tonight I want you badly
I’ve been thinking of you
Through the night
Oh! Aki leo ningekuona
Ningekukula ningekumaliza
Natamani kuwa na wewe
Natamani kuwa na we
Moyo wangu utapona
Nitakuja ata na giza
Natamani kuwa na wewe
Natamani kuwa na we
Call me
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa
I want to be with you
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa
I want to be with you
(Suda suda, suda suda yeah)
Umepiga right on time
Ni kama umekuwa ndani ya akili yangu
Nimekunywa kawine, kakaninice
I always think about you
Hope you’re doing fine
Soft life, some wine and dine
Kwangu hii ni kama sign
So won’t you come to mine’s
Aki leo nikikuona
Nitakuwasha nitakumaliza
Hizi streets zikona njeve
Come take me to heaven
Moyo wangu utapona, nimekuwa kwa giza
My heart is waiting for you
Hope you’re coming through, whoaa
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa
I want to be with you
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa
I want to be with you
Am so free tonight am so free
Am thinking loving baby tell me loving
Yaani tukiguzanisha ngozi
Touch me baby touch me
Lonely you got me lonely
Ooh you killing me softly
Kufika kesho aki mi sioni
Niko njiani
Aki leo ningekuona
Ningekukula ningekumaliza
Natamani kuwa nawewe
Natamani kuwa na we
Moyo wangu utapona, nimekuwa kwa giza
My heart is waiting for you
Hope you’re coming through
Whooaaa
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa
I want to be with you
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa, chelewa
Sitachelewa
I want to be with you
Watch Video
About Sitachelewa
More lyrics from Gifted album
More PRYSHON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl