Jaber Lyrics by OCTOPIZZO


8 Town, Pizzo de, you know it
Nabaki na taki, wangapi wasafi
Mafisi walafi yeah yeah
Ufala sitaki hapa niko kazi
Na rada ni safi bruh

Kazana basi geuza mavazi
Looku ni rasmi girl
Diriba si vadi unaniita dzaddy
Baby touch me now

Steam zimepanda nionyeshe kitanda
Baby and fck me now
Ukimanga kibanda na proski wakanda
Bonga na panther bro

Suti piga pasi
Uber ita Taxi
Rhumba tuko dancing
Luigha niko pasti
Zima hizi masti
Cheki fiti niko ndani
Harusi ni harusi
Mapenzi sio matusi

Be my wifey, niwe huzzy
Be my wifey, Jaber niwe huzzy
Be my wifey, niwe huzzy
Be my wifey, Jaber niwe huzzy Jaber

---
---

Baba yao, baba yao
Mama yao, mama yao
Baba mama wako zao
Mi na boy wapendanao

Tangu juzi hauniguzi
Dye Gucci, dye coochie
Mbuzi beberu, PIZZ ni

Design we hutunga
Design mi hudunga designers
Design nitakusuka, design we hushuka
Ni fine ass

Hips juu chini thighland
Lips true hii ni lifetime
WIFI mi ni cyber
Wife fight nakulove don

Be my wifey, niwe huzzy
Be my wifey, Jaber niwe huzzy
Be my wifey, niwe huzzy
Be my wifey, Jaber niwe huzzy Jaber

Pete, pete pete pete pete
Vela seti seti seti seti
Maua lete lete lete lete
Vua ni teke teke teke teke

Tangazo hii ni habari
Hoteli za kifahari
Ni kote niko banjari
Iliki nina mandhari
Taxin niko jaba
Washatii niko Java...

Be my wifey, niwe huzzy
Be my wifey, Jaber niwe huzzy
Be my wifey, niwe huzzy
Be my wifey, Jaber niwe huzzy Jaber

Watch Video

About Jaber

Album : Jungle Fever (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 19 , 2020

More lyrics from Jungle Fever album

More OCTOPIZZO Lyrics

Ler
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl