Dudu Lyrics by OCHUNGULO FAMILY


Oyaa ata ukuwe mtamu aje huwezi jikula
Peana peana, peana, peana hiyo kutu

Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Toa kutu(Kutu kutu) Toa kutu(Kutu kutu)

Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Toa kutu(Kutu kutu) Toa kutu(Kutu kutu)

Zao zao zigi zao zao
Kam kam tu nikupe kinyau nyau
Wow wow, kusema kweli nimembao mbao
Pow pow ka hakuna thie hau hau

Bom bom show killer killer
Na maringo mingi ndio sina sina
Na nikijicheki niko miraculous
Na ya macho naeza pewa binoculors

We ni oldskul ka inheritance
Unachochwa bado a na shenanigans
Unajua spelling ya anonymous
Unapenda chipo na hunoni aaah

Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Toa kutu(Kutu kutu) Toa kutu(Kutu kutu)

Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Toa kutu(Kutu kutu) Toa kutu(Kutu kutu)

Dada dada wanimaliza
Dada dada wanichizishaa
Kichwa mbaya nimemea pembe
Mahuru mi hujitepa tembe

Poster nawakata wembe
Sekete kakuwe kiwete
Pum pum naipepete
Slayqueen namtepe tepe
Wasenge na tuwalenge lenge
Sura mbaya nawatoa teke

Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Toa kutu(Kutu kutu) Toa kutu(Kutu kutu)

Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Toa kutu(Kutu kutu) Toa kutu(Kutu kutu)

Romour zilianza
Alenjandro nateswa mzima bratha
Jegi zako ndani ni maziwa mala
Leo nadai tu mangale na viagra

Vision 2030, nasupply mapaja
Na mapaka tunastretch kama blada
Honey moon yetu tutakopa Tala
We ni mrefu but sidai kutumia ladder

Sicheki, sicheki
Sicheki ati ndozi haileti
Alejandro mlevi msema ukweli
Anatime ingi mangoko wamebleki

Nimetokea kisos na madeni
Ukuta yangu ni mapainting za majegi

Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Toa kutu(Kutu kutu) Toa kutu(Kutu kutu)

Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Niko na dudu dudu toa kutu(Kutu kutu)
Toa kutu(Kutu kutu) Toa kutu(Kutu kutu)

Watch Video

About Dudu

Album : Dudu (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 01 , 2019

More OCHUNGULO FAMILY Lyrics

OCHUNGULO FAMILY
OCHUNGULO FAMILY
OCHUNGULO FAMILY
OCHUNGULO FAMILY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl