Kimangoto Lyrics by TIMMY TDAT


1 gathee hapo nitake nitakung'ora
2 tuanze za Sodom na Gomora
3 Omoka hapo fathe nitakupora
4 tetema na ma scene za horror

Youtube imeblock
Instagram too
Sometimes niko sober
Sometimes mavitu

Hadi swagga mi nadunga ha mavisu
Ask hawajui, buda better than know
Hey wamepay attention na hata silipishi
Nikishaipiga hata Uber siitishi
Zijakula yako ndo uniite fisi
Mi nakuanga romantic naeza kuwa mpishi

Wananiita god ati mi ndo hukata gode
Hapa mi ndio board shika chalk chora zote
Niko uptown tena bado kwa machoche
Anything anything lolote ni lolote

Orea aii ni makushoto
Orea aii ni kimangoto
Orea pita orosho
Orea aii mi si bakoko

Orea aii ni makushoto
Orea aii ni kimangoto
Orea pita orosho
Orea aii mi si bakoko

Nyama kwa nyama sijui kama kiss aah
Leta change ju sijai tupa key aah
Nina asali lakini sina bee
Napenda punyeto ndio maana sina P

Alipenda D na alipata A aje?
Mazigwembe omorira mwana wanje
Bangae penga ju form ni kubanje
Nichome kipyenga ju form ni kupange

Leta keroma si ukuje nikumange
Kuku zitage, unga ukande
Ka huna mbegu si ukuje nikupande
Niko mavodoo maspirit ni za sunday

Orea aii ni makushoto
Orea aii ni kimangoto
Orea pita orosho
Orea aii mi si bakoko

Orea aii ni makushoto
Orea aii ni kimangoto
Orea pita orosho
Orea aii mi si bakoko

Mambiro we unaenda raw
Kakiloso unakuja na chrome
Maminyoo zimepigwa tu na ndom
Kambio ni kuchana tu kajong' aah

Wanjiru nikurukie Kinjo
Kombero nikukembee kwa chuom
Ureo mureo uriganirwo
Waitherero ndare ariganirwo

Ureo mureo uriganirwo
Waitherero ndare ariganirwo

Orea aii ni makushoto
Orea aii ni kimangoto
Orea pita orosho
Orea aii mi si bakoko

Orea aii ni makushoto
Orea aii ni kimangoto
Orea pita orosho
Orea aii mi si bakoko

Ndina kondo gakwa
Ona giaba, ona giabora
Ndina kondo gakwa
Ona giaba, ona giabora

Odi wa Murang'a unamada matrack sana
Hannah Hannah Hannah nduri yako soft sana
Sijaacha kurendana nilieka maskio pamba
Kuvimba kichwa mi huchoma na biggy wa NACADA

Nilipenda shada sana nikakosa hadi stashahada
Nilipenda ikus sana malaya akanibayia hadi mbota
Makeme nikawekewa kwa keroma na mogoka 
Bado tukipatana wanadai kushikiwa soda

Orea aii ni makushoto
Orea aii ni kimangoto
Orea pita orosho
Orea aii mi si bakoko

Orea aii ni makushoto
Orea aii ni kimangoto
Orea pita orosho
Orea aii mi si bakoko

(Hakuna mtu wa Mazematic)

Watch Video

About Kimangoto

Album : Kimangoto (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 20 , 2019

More TIMMY TDAT Lyrics

TIMMY TDAT
TIMMY TDAT
TIMMY TDAT
TIMMY TDAT

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl