Double Double Lyrics
Double Double Lyrics by NEEMA GOSPEL CHOIR
Mungu wetu ni mkuu ni mwaminifu
Mtoshelevu
Kwetu huu hata milele
Mungu wetu ni mkuu ni mwaminifu
Mtoshelevu
Kwetu huu hata milele
Akiahidi anatenda, ukimwamini yeye tu
Na neno lake halirudi kwake bure ni Mungu
Akiahidi anatenda, ukimwamini yeye tu
Na neno lake halirudi kwake bure ni Mungu
Anadumu milele
Ni mwaminifu Elishadai Elishadai
Akiahidi ana tenda, ukimwamini yeye tu
Na neno lake halirudi kwake bure ni Mungu
Akiahidi ana tenda, ukimwamini yeye tu
Na neno lake halirudi kwake bure ni Mungu
Tumebarikiwa na Mungu mwenyewe
Tunaujasiri ndani ya Yesu
Tumebarikiwa wengine waone
Waokolewe wamjue Yesu
Tumebarikiwa na Mungu mwenyewe
Tunaujasiri ndani ya Yesu
Tumebarikiwa wengine waone
Waokolewe wamjue Yesu
(Baba Baba)
Tupate wapi mwingine, kama Wewe?
(Yesu Yesu)
Unatutosha
(Baba Baba)
Tupate wapi mwingine, kama Wewe?
(Yesu Yesu)
Unatutosha
Unatupa vyote tukuombavyo
(Double double)
Hatupungukiwi tukiwa nawe
Unatupa vyote tukuombavyo
(Double double)
Hatupungukiwi tukiwa nawe
(Baba Baba)
Tupate wapi mwingine, kama Wewe?
(Yesu Yesu)
Unatutosha
(Baba Baba)
Tupate wapi mwingine, kama Wewe?
(Yesu Yesu)
Unatutosha
Unatupa vyote tukuombavyo
(Double double)
Hatupungukiwi tukiwa nawe
Unatupa vyote tukuombavyo
(Double double)
Hatupungukiwi tukiwa nawe
Yahwe tu pate wapi mwingine
Yahwe unatutosha
Yahwe tu pate wapi mwingine
Yahwe unatutosha
Watch Video
About Double Double
More NEEMA GOSPEL CHOIR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl