Kitu Tamu Lyrics by NAIBOI


Hii kitu ni tamu bana (Tamu bana)
Hii kitu ni tamu bana (Tamu bana)
Hii kitu ni tamu bana (Tamu bana)
Hii kitu ni tamu bana (Tamu bana)

Yeah ni tamu kama shokola ama chocobar
Ama ka ukiingia dufo na sontola
Tam ka Oreo, tam ka ki ombitho
Tam ka form ya jabare na mamorio

They call me Mr Tam Tam
Brand B aka kijana handsome
Hustle ni on the daily
Lazma bank account ibaki lumpsum
Kuishi poa kudishi kupiga looku
Stress kutoa niko drinki niko manduku
Camp ya wazito usipime utachekwa bure
Na mziki umeenda shule

Hii kitu ni tamu
Kuicheki bila ku double tap ni kukosa nidhamu
Utaenda kuitangaza ah ah eeh
Usiitafune baby imumunye
Usiogope kunishika we nikune
Kitu tamu aah aah 

Tamu bana (Tamu bana)
Hii kitu ni tamu bana 
Hii kitu ni tamu bana 

[Breeder LW]
We ngoja mi niomoke ndo uniteke pointi
Uko na roho but inakaa umelewa ndo huskii
Maisha tamu sana si hudishi mutura na chopsticks
Ka si mayai pasua nipate juu ya smokie
Si kila kitu tamu italambwa na ulimi
Kuna zile unaweza set zikulipuke akilini
Tamu ka kukuwanga firstborn wa Wanjigi
Kitu tamu tight hizo ndo humezaga CD

Na makinika na sijai somea group of schools
Kukafunga kabla 30 hizo sa ndo boss moves
Achana lobster obamlando si food
After later we kesho kuja kwangu na see through

[Fena Gitu]
Hii kitu inadonjo kwa lojo
K1 tuko area onja kitu tamu bana (Tamu bana)
Ni kitu delicious so so sick viserious
Uko within or without then you are in or out no doubt
Vile rap iko kwa damu sana Fena kitu tamu sana
Fena kitu tamu sana
Hii kitu ni tamu bana

[Pro]
Wakileta beef mi naleta cake
I like sweet things mpaka niko na toothache
I might just sing but it makes girl shake
But first ngoja nirap niburst kama Iraq
Ama kama iraa kwa kidonda na naskia kukam na bonc
Ka kitu ni tamu si mi nabonga
We mkiskia kiwaru zidi kubonga 
Si tukikula mawaru na manyama choma

Ah Naiboi hii kitu si ni tamu
Tamu kama supu ya nyama 
Ama kama ikust ya mkamba
I'ma call you take my number

Hii kitu ni tamu bana (Tamu bana)
Hii kitu ni tamu bana 
Hii kitu ni tamu bana 

[Femi One]
Sindio nimesababisha hapa mavilio
Mi ndio chaguo la Mateenie yo
Hii ligi yo si easy yo
Kiriri your bad gal ndio mimi yo
Cheki quality si material

Hii flow inapigwa dogo
Vile we hukus Koinange
So terror most baba jipange
Je tukivamiwa hapa nani ndio queen?
Nani ako ready kudedia team?
Digaga zimecome out
Cheki vile macho ziko aroused
Nimecheki mafala wananisorround
Wasichana wanajicrown na kuchafua ni hapa ground
Mali safi inafichwa mbele ya karao juu

Kanaenda round and round
Kitu tamu inacome around
Inazunguka mmmh zunguka
Kanaenda round and round
Kitu tamu inacome around
Inazunguka zunguka

Hii kitu ni tamu bana (Tamu bana)
Hii kitu ni tamu bana (Tamu bana)
Hii kitu ni tamu bana (Tamu bana)
Hii kitu ni tamu bana (Hii kitu ni tamu bana)

Watch Video

About Kitu Tamu

Album : Kitu Tamu (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Naiboi Worldwide.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 25 , 2021

More NAIBOI Lyrics

NAIBOI
NAIBOI
NAIBOI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl