NAIBOI Otero  cover image

Otero Lyrics

Otero Lyrics by NAIBOI


Jisamehee jo ka ulianza hii siku na  mguu ya left
Hao mafala hawakuangi impressed
Nakanyagia brakes when the green light is red
Intrest ni less na place umezoea 
Ndio maana mtaa umepotea

Huwezi lenge street so mtaa umekomea
Nairobi shamba la mawe na bado unaibiwa mbolea
Na next door neighbour kageuka millionaire
Ni kama hatuna say to be sincere

Ukipark unatense ndio ufeel uko there
Buda ako bars na mtoi hana fare
Unapewa smile safi hio ndio future tunarare
Unaeza achilia hio ahea

Mimi kando yako nikiroll
Kitu tamu tumesunda magazeti tunamake pair
Damu inachemkianga doh, usalini ni role
Otero ndio goal

Hii life tunapitia mabonde
Lakini nayonayo kimandela, otero ndio goal
Yes sir anatesa na channel
But she say she look good
Ndo anatell her, Otero ndio goal
Enemies wanadhani wataniscore ka goal
My keeper yuko chonjo Otero ndio goal
Provice mare mare, wa Otero ndio goal
Na Otero ndio goal, kuwa Otero ndio goal

Tunakucelebrate leo ju umeweza weza, goal
Kesho pia we ni stori to another meza
Kusema na kutenda ka bado unaweza kick
Kuwakunywa na  kistraw sa ile bado unanitii

Otero on a cruising ship
Entourage inafanya uulize who be this
Madigaga za Jcole zimedai sikuoni leo
Ma vilain wamelay low

Tunachafuanga meza ndo tusanitize
You can smoke in my keja ju nimelegalize
Na mi ndio otero hapa fck your top 5
Nimeficha white mheshimiwa umeficha wife

Hii life tunapitia mabonde
Lakini nayonayo kimandela, otero ndio goal
Yes sir anatesa na channel
But she say she look good
Ndo anatell her, Otero ndio goal
Enemies wanadhani wataniscore ka goal
My keeper yuko chonjo Otero ndio goal
Provice mare mare, wa Otero ndio goal
Na Otero ndio goal, kuwa Otero ndio goal

 

Watch Video

About Otero

Album : Otero (EP)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Naiboi Worldwide
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 01 , 2021

More lyrics from Otero (EP) album

More NAIBOI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl