Nikuvishe Pete Lyrics by JAGUAR

Eeh eeh eeeh
Mainswitch

Chanda na pete
Baby nime kupenda wewe
Baby boo weni wembe
Tuzame kwa mapenzi
Tupae juu kama ndege
Tufike hadi kwa kikwete
Baby boo we ni only
Mwengine mimi sioni
Maishani
Basi njoo uwe name
Ufunge pingu na mimi
Za harusi basi twende tu

Wengine tene mbali
Nawaweka tu
Niwewe tu milele napenda tu
Na nikushikilie
Kwa mapenzi tu
Juu ni wewe nimekuchagua
Nikiwa nawe nitafurahia
Baby basi njoo karibia (karibia)
Usinilenge, usini tenge

Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete
Pete pete pete pete…
Kwako nikuvishe pete
Pete pete pete pete…
Kwako nikuvishe pete

Kweli moyo umedata
Ni we nataka tu
Milele
Usiku mchana nikiwaza
Nisikutenge boo
Ni wewe
Hata waseme nini
Niko nawe today
Nifunge nawe ndoa nifurahi milele
Mapepo zote kwetu tuzipige teke
I’ll never leave you all alone baby
tufike kwake baba
Na hata mama
Wajue zetu kweli mengi hisia
Wewe wangu wa maana
Sitakutenga
Ni kifo tu itanitenge na wewe
Juu ni wewe nimenkuchagua
Nikiwa nawe nitafurahia
Basi baby njoo karibia  karibia
Usinilenge
Usini tenge

Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete
Pete pete pete pete
Kwako nikuvishe pete
Pete pete pete pete
Kwako nikuvishe pete
Pete pete pete pete
Kwako nikuvishe pete
Pete pete pete pete
Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete
Pete pete pete pete
Kwako nikuvishe pete
Pete pete pete pete
Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete
Kwako nikuvishe pete

 

Watch Video

About Nikuvishe Pete

Album : Nikuvishe Pete (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Aug 13 , 2018

More JAGUAR Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet

See alsoYou May also LikeGet Afrika Lyrics Mobile App

About AfrikaLyrics 

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl